Search results

  1. S

    Matofali ya Interlocking,bei zake kwa sq meter

    Wakuu heri ya sikukuu ya Noeli,nlikua naulizia bei ya tifali za interlocking kwa sq meter ni kiasi gani?pia ukilinganisha na hizi tofali za kawaida kuna unafuu kwa kiasi gani??nipo dar wakuu.
  2. S

    Msaada kwa anayefahamu mwalimu wa Kinanda

    Wakuu heshima kwenu,nilikua nahitaji kujifunza kupiga kinanda(just for fun) kwa anayefahamu pls anijulishe hapa jamvini na gharama zake.Nipo Dar.Asanteni
  3. S

    Ushauri mitandao ya uuzaji wa magari Japan (online car dealers)

    Wakuu heshima zenu! Nilikua naangalia magari kwenye mitandao mbalimbali Japan ila kilichonistua ni tofauti kubwa ya bei kati ya mtandao na mtandao. Kuna mitandao mingi ya dealers ambayo watanzania wengi tumekua tunaangizia magari kwenye hiyo mitandao michache kati ya hiyo mitandao ni kama...
  4. S

    Matatizo ya Fuel gauge kwenye Rav 4 2000 model

    Wakuu poleni na kazi,mwenzenu nina shida,kagari kangu geji inazingua,inaonyesha full tank wakat hakuna kitu,nimejaribu kuibadilisha bila mafanikio,pia cha kushangaza abiria akikaa kwenye kiti cha mbele geji inapanda,sijui ni tatizo gani,nimeonana na fundi waya,ameishia kuumia kichwa tuu,wala...
  5. S

    Natafuta mbao za cyprus kwa bei ya jumla

    Wakuu heshima zenu!nimefungua ki hardware kangu huku dar!sasa nilikua nahitaji mbao hizi ambazo hazina dawa kwa kuanzia!kama kuna yeyote ambaye anaifanya hii business hebu atangaze biashara yake hapa!naweza nikawa mteja wake!Size ya hizo mbao ni 1x10,1x8,1x6,2x4,2x6. Pia anaweza akaniwekea na...
  6. S

    Natafuta desktop Computer

    Wakuu nilikua natafuta desktop computer mpya!hizi ni specification zake Aina ya computer DELL,Intel Core i 3, 2gb memory Kwa mwenye nayo hebu anipe bei!naweza kuwa mteja wake Asanteni sana
  7. S

    Salaam wana jamvi

    Wakuu naomba mnipokee mimi ni kuku mgeni!hapa nina bonge la cheni mguuni nisipotee!
Back
Top Bottom