Salaam wana jamvi

sithole

JF-Expert Member
Mar 13, 2012
307
115
Wakuu naomba mnipokee mimi ni kuku mgeni!hapa nina bonge la cheni mguuni nisipotee!
 
Ha ha haaa!!! karibu sana JF kuku mgeni. Ngoja niishike cheni yako usije ukapotea humu ndani wakati nakutembeza kwenye majukwaa ya humu ndani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom