Search results

  1. M

    KERO Ubovu wa barabara kutoka Mombo kuenda Lushoto

    Kwani MTAKA URAIS wenu anasemaje juu ya barabara
  2. M

    Chadema kusambaratika kwasababu ya uroho na tamaa ya urais wa viongozi wake

    Ni wazi Viongozi wa Chadema wanaenda KUKIPASUA CHAMA Chao Mapande Mapande kutokana na kujaa Uroho na Tamaa ya Kutaka Urais.Mbowe anautaka Urais na Lissu anautaka Urais. Kutokana na Kushindwa kupatikana KATIBA MPYA na TUME HURU na HAKI ya Uchaguzi ni wazi Uchaguzi wa 2025 unaenda kufanyika kwa...
  3. M

    KERO Barabara ya Tabata Kimanga irekebishwe

    MBUNGE NA DIWANI WENU WACHANGE FEDHA MBONA MBUNGE ANA PATA MKWANJA MREFU?
  4. M

    Ni chombo gani kinapima utendaji wa wabunge katika kipindi cha miaka 5?

    Wadau naomba kujua, ni chombo gani kipo kisheria kinachowapima wabunge utendaji wao katika kipindi cha Miaka 5 ya ubunge wao au wanajipima wenyewe? Nataka nipate taarifa za mbunge wangu kama ameyatekeleza aliyotuahidi wakati anaomba kura kwani Muda mwingi alikuwa Dar na Dodoma.
  5. M

    BAKWATA Arusha yamfanyia Dua Maalumu RC Makonda Ili aweze Kufanikiwa katika Malengo yake ya Uongozi

    Bashite kapatwa na nini? Kwani Dua aliloombewa na MUFTI halina nguvu mpaka akaombewe na sheikh ambaye ni mdogo kwa MUFTI?
  6. M

    Nini hatima ya Halima Mdee na wenzake baada ya bunge kuvunjwa?

    Hao wamepewa ubunge na Magufuli Mbowe na Magufuli walikuwa paka na Panya mbowe hausiki na Usaliti wao
  7. M

    Nini hatima ya Halima Mdee na wenzake baada ya bunge kuvunjwa?

    Upo sahihi wamethibitisha Usaliti wa kiwango cha juu hata ukiwaoa watakusaliti kuna mmoja wao mume kamwacha
  8. M

    Kinana atoe majibu kuhusu clip hii akiwa Loliondo/Ngorongoro na Mfalme wa Dubai

    Kumbe lucas ni wa Vwawa vijijini ndio maana anahangaika na Mapambio ya kutafuta Teuzi atoke Kijijini
  9. M

    Nini hatima ya Halima Mdee na wenzake baada ya bunge kuvunjwa?

    Wadau nawasabahi. Uchaguzi ndio huo unakaribia. CHADEMA wameshinda pambano lao dhidi ya Halima Mdee na kundi lake kwa kuishawishi Mahakama Kuu kuthibitisha uhalali wao wa kuwafukuza Halima Mdee na kundi lake uanachama. Pia, CHADEMA wametekeleza wajibu wa kikatiba kulijulisha Bunge na Tume ya...
  10. M

    Malipo ya fidia ya Kipunguni yatua Bungeni nani anakwamisha,tuikae CCM

    HAMLIPWI NG'OOO SUBIRINI TENA MIAKA KAMA HIYO CCM inashughulikia Uchaguzi
  11. M

    Vyama 11 vya Siasa vyalaani kauli za Tundu Lissu

    VYAMA VYOTE HIVYO NI MATAWI YA CCM
  12. M

    Vyama mamluki matawi ya CCM

    CHAMA CHA UPINZANI NI KIMOJA TU na ndio maana Machawa wote midomo juu kwa hicho chama
  13. M

    Kuna nini kati ya James Mbatia na Joseph Selasini?

    Alimdhalilisha Mbatia kuwa ni mla rushwa mahakama imemtaka athibitishe kashindwa
  14. M

    Kuna nini kati ya James Mbatia na Joseph Selasini?

    Wadau kuna tetesi nimezisikia kuwa Mh. James Mbatia aliyekuwa Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi kambwaga Mh. Joseph Selasini Mahakamani katika Kesi aliyofungua Mbatia ya Kumdhalilisha. Katika Kesi hiyo Mh. Joseph Selasini ametakiwa na Mahakama Kumlipa Mh James Mbatia Tsh Milioni 80. Je TAARIFA HIZI...
Back
Top Bottom