Search results

  1. K

    Barabara ya Magomeni - Tandale - Sinza kugeuzwa gereji ya magari chakavu

    Mheshimiwa Albert Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, hongera Kwa kazi kubwa unayowafanyia wakazi wa Dar. Naomba upitie barabara kutokea Magomeni inayopita Tandale Ili iunganishe na barabara ya Shekilango, kuna uharibifu mkubwa wa mazingira. Barabara nzima imegeuzwa dampo ya magari...
  2. K

    TANESCO wanakata umeme kila siku Masaki kuanzia saa 12 jioni

    Jamani wenzenu huki Masaki TANESCO wanakatiwa umeme Kila siku ikifika saa 12 jioni mpaka saa 6 usiku . Ukipiga simu wanakuanbia ni mgao. Hivi ni mgao gani Kila siku usiku Kwa hiyo sisi tukitoka kazini hatutakiwi kuwa na umeme. Tunatoka asubuhi tunaenda kazini tukirudi tunakuta Giza Kila siku...
  3. K

    Nafasi ya kazi ya house girl

    NAFASI YA KAZI YA HOUSEGIRL Anahitajika mfanyakazi wa ndani (mwanamke) House Girl mwenye vigezo vifuatavyo: 1) Mtu mzima wa umri miaka kuanzia 30 mpaka 36 2) Awe na ujuzi wa kazi zote za ndani ikiwa ni pamoja na usafi na kupika 3) Ajue kuongea English na uzoefu wa kufanya kazi na wageni (...
  4. K

    Wizi Mkubwa Ukarabati wa Flati za NSSF

    Kule Masaki NSSF wanafanya ukarabati mkubwa wa gorofa zake. Ukarabati huo unahusisha uvunjaji na kubadilisha madirisha na magrill, kupaka rangi n.k. lakini kazi hii wanaifanya wenyewe hawakumpa Contractor wala hakuna usimamizi wa injinia wa majengo mwenye ujuzi, wanatumia vibarua wa mitaani...
  5. K

    NSSF ichunguzwe na TAKUKURU na Wizara ya Fedha kuhusu harufu ya ufisadi na rushwa

    NSSF imeteua Kampuni binafsi ya PROPER CONSULT kusimamia majengo yake na kuwataka wapangaji kufanya malipo kwenye Akaunti binafsi ya Kampuni hiyo iliyoko CRDB kinyume maelekezo ya Serikali kuwa malipo yote ya Serikali yafanyike kwa kutumia Control Number ili pesa zote ziingie Serikalini. Hapa...
  6. K

    Serikali ikomeshe huu utaratibu wa wanafunzi kukusanyika kushangilia wasanii wanapotembelea mashuleni kutoa misaada

    Nina kitu kinanishangaza,. kunsikitishai na kushindwa kuelewa sababu za serikali kuruhusu wanafunzi kusitisha masomo ili kuwasubiri na kuwashangilia wasanii wa muziki au filamu wanapofika mashuleni kutoa misaada. Huu utaratibu umeendelea kwa.kipindi kirefu mpaka sasa. Hii leo tumeona kwenye...
  7. K

    Hospitali ya Ocean Road na changamoto ya vifo vya wagonjwa

    Haya ninayoyasema nina uhakika nayo kwani nimemuuguza mdogo wangu mpenzi hapo Ocean.Road kwa miezi miwili na.kila siku nilikua.nashinda hapo hivyo ninachokizungumza ni kweli n.a. anaandika haya kwa uchungu mkubwa. Mfogo wangu amefariki wiki mbili zilizopita Mungu ailaze roho yake mahali pema...
  8. K

    Hospitali ya Ocean Road na changamoto ya vifo vya wagonjwa

    Umepaga huduma nzuri kwa vile baba yako ni daktari au nesi wa ocean road
  9. K

    Hospitali ya Ocean Road na changamoto ya vifo vya wagonjwa

    Ukisubiri kufa ndio usihudumiwe kama ni hivyo basi hakuna haja ya hiyo hospital wala madaktaril kuwepo na serikali haina haja kuingia gharama kubwa kutibia wagonjwa ambao wanasubiriwa kufa. Unasema hivyo kwa sababu hujauguliwa na.ndugu mwenye cancer. Mama huna hoja si ukae kimya au na wewe ni...
  10. K

    Hospitali ya Ocean Road na changamoto ya vifo vya wagonjwa

    HIVI hioni aibu kusema uongo mchana kweupe. Inaelekea wewe ni mtumishi wa pale Ocean Road ndio maana unajitetea.
  11. K

    Hospitali ya Ocean Road na changamoto ya vifo vya wagonjwa

    Wauguzi ambao ni manesii na madaktari wa Ocean Road ni kama wanaua wagonjwa kwa makusudi. Wagonjwa wengi wanaolazwa Ocean Road hata wakiwa hawana hali mbaya wakishalazwa Ocean Road wanazidiwa na kufa badala ya kupata nafuu. Nimeona wodi moja gorofa ya tatu kila siku unakuta mgonjwa mmoja...
  12. K

    Anatafutwa mfanyakazi wa kustationery

    Anatafutwa mfanyakazi wa kufanya kazi kwenye Stationery.
  13. K

    Anahitajika housegirl

    Anahitajika Housegirl wa kuishi hapo hapo mwa mwajiri. Awe na miaka 18 na zaidi.
  14. K

    Nafasi ya wafanyakazi wa ndani (House girls)

    Wanatafutwa wasichana wa kufanya kazi za ndani (House Girls). Awe na miaka 18 na kuendelea, Elimu ya darasa la 7 na kuendelea, awe mchapa kazi na mwaminifu. Awe tayari kuishi huko huko kwa mwajiri wake
  15. K

    Nafasi ya kazi dubai

    Anatafutwa mwanamke/mama kwenda kufanya kazi za ndani (housemaid) nchini Dubai. Awe na sifa zifuatazo: Awe na umri wa miaka 35 na kuendelea Muumini kwa Kiislam Aweze kuongea Kiingereza na Kiswahili kwa ufasaha Ujuzi wa kufanya kazi za ndani (house keeping) ni muhimu Awe Mwaminifu na mchapa k
  16. K

    Nafasi ya kazi kwenye stationery

    Anatafutwa msichana wa kufanya kazi kwenye stationery mwenye sifa zifuatazo: Awe anafahamu vizuri kutumia computer na internet Aweze kuchapa/kutype maneno zaidi ya 40 kwa dakika Awe anajua kiingereza Awe anaishi maeneo ya Keko, Chang'ombe au Temeke
  17. K

    Nafasi ya kazi Dubai na nchi nyingine za falme za Kiarabu

    Hii kazi ni genuine na vibali vya kufanyia kazi huko nje vitatolewa hivyo haina wasiwasi kabisa.
  18. K

    Nafasi ya kazi Dubai na nchi nyingine za falme za Kiarabu

    Wanahitajika wafanyakazi wa majumbani (Housemaids) kwenda kufanya kazi Dubai, Ajman na Sharjah. Mshahara mzuri Muombaji awe na umri wa miaka 24 na kuendelea, aweze kuongea kwa ufasaha kiingereza, kiswahili (akiweza kuongea kiarabu itakua vizuri zaidi)
  19. K

    Wanahitajika mahouse girls

    Wanahitajika housegirls (wasichana wa kufanya kazi za nyumbani), awe amemaliza darasa la saba na kuendelea, mwaminifu na mwenye heshima
  20. K

    Gari honda civic inauzwa milioni 4

    Gari aina ya Honda Civil rangi nyeusi iko kwenye hali nzuri inauzwa Shs. Milioni 4.
Back
Top Bottom