Search results

  1. K

    Mbuge wa jimbo la Muheza ashikiliwa Takukuru kwa rushwa

    Mbunge wa Jimbo la Muheza CCM leo ameshikiliwa na taasisi la kupambana na rushwa Muheza.Na anatajiwa kufikishwa mahakamani kesho tarehe 23.3.2012 ili kujibu tuhuma hizo zinazomkabili.:scared:
  2. K

    Mbuge wa jimbo la Muheza ashikiliwa Takukuru kwa rushwa

    Mbuge wa jimbo la muheza(CCM) leo amehojiwa na Taasisi ya kupambana na rushwa(TAKUKURU)kwa vitendo vyake ya rushwa wakati wa uchaguzi wa mwaka 2010 .Na anatazamiwa kupandishwa kesho katika mahakama ya Wilaya kujibu tuhuma hizo.
  3. K

    Mgomo wa madaktari - Updates

    natoa pongezi kwa serikali yetu ilivyojipanga kupambana na mgomo wa madaktari kwa kuwaajiza warusi,waquba na wahindi huziba pengo habari za ndani ya carpet wapo kwenye maandalizi ya mwisho kesho kutwa wanawasili hongera mh.pinda kwa ulivyojipanga.:A S 465:
  4. K

    Tanapa kulikoni!!!

    Kwa wale waliokosa nafasi jaribuni tena watu wameshaanza kazi rasmi toko tarehe 27.2.2012
  5. K

    Tanapa

    watu wapo kazini kama ulikuwa unasubiria tafuta sehemu nyingine
  6. K

    Tanapa

    tupo kazini interview imeshafanyika tarehe 15.2.2012:photo:
Back
Top Bottom