Tanapa kulikoni!!!

jamani huo sio ukweli au inategemea na post but latest updates nilizonazo kutoka kwenye source zinazoaminika tanapa ni kwamba kwa sasa wako kwenye process za shortlisting, applications ni nyingi mno and they have to record each n every application kwenye database. msikate tamaa kama una vigezo utaitwa tuu
 
Ndugu yangu watu washaanza kazi kitambo Nina mdogo wangu ameshaanza
Mjini mipango
 
ndo maana yake na watu saiv wameshaanza training km c kazi!
Walioanza kazi ni Procurement Technicians tu hao wengine endelea kuwa mpole taratibu za ajira zinaendelea zaidi ya watu elfu kumi wameomba hizo nafasi unaweza ukawaza kazi ilivyo ndefu.
Ushabiki usipewe nafasi mbele ya ukweli.
 
ma dragon siku zote kwenye jamii hawakosekanagi,mnafikiri kukatisha watu wengine tamaa ndo Mungu kashindwa,hlo halipo na haitakuwepo
 
Back
Top Bottom