Search results

  1. TERNe

    Naitaji connection za vibarura migodin geita

    Habarini wakuu Naitaji kwenda geita niko mwanza kutafta kaz kweny migodi na plants cna pakufikia wala connection za vibarua naombeni msaada wa kimaelekezo,connection au kazi. 0694934864
  2. TERNe

    Company provider for loney

    Baada ya kugundua kuna watu wana uwezo lakin wako loneliness,stressed,wanahitaji kuwa na mtu wakuwapa company,kuongea nao, kukaanao,kutoka nao(outings) nimeamua kujitoa kuprovide hiyo service kwa watu wanao hitaji Services cost zangu zina tegemea na nitakuwa na wewe kwa mda gani. Nia yangu...
  3. TERNe

    Naomba ushauri kwa aliyewai kununua tinga tinga fx robot

    Habari wakuu, Naombeni ushauri na ushuhuda kama kuna mtu aliyewaikununua tinga tinga robot kwaajili ya kutrade forex kutoka kwa billionaire forex academy
  4. TERNe

    Dereva natafuta kazi

    Nina miaka 25,elimu yangu ni secondary baada ya hapo nlienda chouo cha tourism lakin kwa bahati mbaya siku weza kumaliza chuo. Nilikua na fanya kazi kwa wachina wa bonanza kama dereva mwanza kwa mda wa miez tisa ila kwa sasa maboss zangu wamerudi china. Natafuta kazi na naomba mnisaidie...
  5. TERNe

    Nahita kazi ya udereva

    Natafuta kazi, Mimi nikijana wa miaka 25... Nlikua nafanya kazi kwa wachina kama dereva mwanza kwa mda wa miez tisa.Na kwa sasa maboss zangu wamerudi china.Natafuta kazi ya udereva wa nyumbani,taasisi au dereva wa kukodisha vyovyote lisence yangu ni class D na B,naendesha gari zote automatic na...
Back
Top Bottom