TERNe
Member
- Sep 22, 2023
- 89
- 93
Nina miaka 25,elimu yangu ni secondary baada ya hapo nlienda chouo cha tourism lakin kwa bahati mbaya siku weza kumaliza chuo.
Nilikua na fanya kazi kwa wachina wa bonanza kama dereva mwanza kwa mda wa miez tisa ila kwa sasa maboss zangu wamerudi china.
Natafuta kazi na naomba mnisaidie connection za kazi ya udereva wa nyumbani, taasisi(NGO), private na kukodishwa.
Nipo available lesen yangu ni class D na B, naendesha manual na automatic.
Contact:+255694934864
Location: Flexible(kwasasa niko Mwanza)
Uaminifu mbele natanguliza shukurani zangu.