Search results

  1. A

    Mke wangu hanipi haki ya tendo la ndoa, kila siku amechoka

    kaa nae, nimekutana na kesi kama hii wiki iliyopita, mwanamke anasema hana hisia kwa mume wake, anaona kinyaa kushiriki nae tendo, kwa sababu akiwa secondari alikua anashiriki homosexual na dadake wa shule, badae wakapotena, japo aliendelea kusagana hadi alipimaliza chuo (na wadada wengine)...
  2. A

    Mwenye kujua dawa ya kupunguza hamu ya tendo la ndoa anijuze

    your spirit has been attacked by evil spirit and no medications can cancel out evil spirit, you have to seek spiritual help to be free. #SexualAddiction# Uraibu wa ngono
  3. A

    Nahitaji Tent, keki na upambaji wa harusi Mbeya

    anaweza pia, inategemeana na gharama zake, nilipendekeza mkazi wa mbeya ili kuepusha gharama ambazo zinaweza zisiwe za lazima
  4. A

    Nahitaji Tent, keki na upambaji wa harusi Mbeya

    Nahitaji tent classic, na fundi mzuri wa kupamba tent, kutengeneza keki ya harusi, na awe anapatikaba Mbeya mjini au wilaya za karibu na Tukuyu. Tukio ni mwezi wa tano, kwa yeyote mwenye connection karibu tuyajenge
Back
Top Bottom