Mikasa ndani ya ndoa; Kakuta KY na butt plug kwenye begi la mkewe.

Wahenga walisema,"Hata uwe mrefu vipi huwezi kuiona kesho"... Ni kauli iliobeba mana kubwa sana katika maisha yetu ya kila siku.

Ni rafiki yangu wa muda kidogo, na tumekuwa tukishea mambo kadhaa ya kimaisha na ushauri wa hapa na pale.

Lakini kwa leo hata mimi nimeshindwa Cha kumshauri, ukizingatia yupo ndani ya ndoa, na mimi bado nakula vyeupe.

Mke wa huyu rafiki yangu, amesafiri kikazi kwenda mkoa fulani, lakini wakati akiwa huko, kuna kitu alikisahau na ni cha muhimu sana. Ilimlazimu kumpigia mumewe na kumuomba amwangalizie hicho kitu kwenye mikoba yake ama mabegi ya nguo zake.

Mume akaingia kutafuta kitu alichoagizwa, alitafuta kwa muda kidogo na alipokikosa, aliamua kupangua nguo moja moja ili aone kama atakipata.

Lakini wahenga walisema "La kuvunda halina ubani" mume alikipata kile kitu, lakini alikutana na kiboksi kilichofungwa vizur na kwa utaratibu maalumu.

Kama mjuavyo, binadamu tunaongozwa na nafsi ya kiherehere, mume aliamua kukifungua na alichokiona hakuamini kama ni ndoto ama ni kweli.

"ALIKUTANA NA MAFUTA YA KY NA BUTT PLUG ZA AINA TATU TOFAUTI"

mafuta yanaonekana kutumika, na dildo pia sio mpya ni zilizotumika mana hazina upya.

Sasa mume ameshindwa kujua vitu vile vinafanya nini kwenye begi la mke wake, japo anajua matumizi yake. Na haina siri kuwa yawezekana mke wake anavitumia vitu hivyo.

Aliwaza peke yake, akaona mzigo ni mkubwa, aliamua kuja kunishirikisha jambo hilo.

Lakini hajamuuliza mkewe hadi sasa na amevirejesha kama alivyovikuta.

Baharia mimi nimeganda tu bila kupata cha kumshauri, kwa sababu mke ni tofauti na hawala, na ushaur wowote wa kizembe unaweza kutengeneza bomu kubwa la kupasua hadi mwezi.

Kikubwa nimemwomba amsubiri mkewe kwanza.

Je, mlioko kwenye ndoa, mnasema nini juu ya sakata hili?

MABAHARIA NAJUA MAWAZO YENU, TAFADHALI TUWAACHIE WALIOKO KWENYE NDOA.
Unapiga kimya...
Maisha yanaendelea...
 
inawezekana ni msagaji anatumia kwa wanawake wenzie
 
Ukitaka kujua urefu wa mizizi kwenda chini angalia urefu wa mti ukoje.
Ukiona mti mfupi na umesambaa sana ujue na mizizi yake imesambaa haijaenda sana chini.
Mti mrefu sana, ujue na mzizi wake mkuu umerefuka sana kwenda chini.

Hivyo ukitaka kuotesha mti pembeni ya nyumba na hutaki miziz ipasue ukuta,
Bila shaka utaotesha miti inayorefuka kuliko inayosambaa

Sasa ukikuta mti unapasua ukuta wakati ulijua ni mti wa kurefuka
ni bora kubomoa hio nyumba ukaacha mti uendelee kuota halafu baadae uje ujenge nyumba mbali na huo mti.

Najua ni ngumu kueleweka, maana hata mimi nikisoma nilichoandika nachanganyikiwa

Hahahaa. halafu nimeikuta naongelea miti hapa wakati hamna wajenzi,
kwani uliuliza nini tena mkuu?

Adios.
Hapo ndoa hakuna
 
Kiufupi huyo rafikiyo hana kauli mbele ya mkewe ndo maana hata kuwasikiana naye imeluwa jau. Na mkewe alivyo mshashi kaamuwa kuweka vitendeakazi vyake ndani na hamuogopi huyo jamaa

Wakati anafunga ndoa alikuwa na jopo la washauri yaani mhenga na wazee wa ukoo. Asione aibu kuwashirikisha kwa sababu koufupi hapo hakuna ndoa
 
Ukitaka kujua urefu wa mizizi kwenda chini angalia urefu wa mti ukoje.
Ukiona mti mfupi na umesambaa sana ujue na mizizi yake imesambaa haijaenda sana chini.
Mti mrefu sana, ujue na mzizi wake mkuu umerefuka sana kwenda chini.

Hivyo ukitaka kuotesha mti pembeni ya nyumba na hutaki miziz ipasue ukuta,
Bila shaka utaotesha miti inayorefuka kuliko inayosambaa

Sasa ukikuta mti unapasua ukuta wakati ulijua ni mti wa kurefuka
ni bora kubomoa hio nyumba ukaacha mti uendelee kuota halafu baadae uje ujenge nyumba mbali na huo mti.

Najua ni ngumu kueleweka, maana hata mimi nikisoma nilichoandika nachanganyikiwa

Hahahaa. halafu nimeikuta naongelea miti hapa wakati hamna wajenzi,
kwani uliuliza nini tena mkuu?

Adios.
Bila shaka huu ni ushauri bora sana,lakini wahitaji roho ngumu
 
Back
Top Bottom