Search results

  1. Shetani

    Mhariri wa Mwanahalisi akatwa mapanga

    Nawewe umezidi kuwa desperate kwa watu kutembelea website yako,break news hapa hapa kama unazo acha gimicks za kuvutia trafic kwenye kitovuti chako
  2. Shetani

    Pathetic Government?

    how can a government be so incompetent kiasi cha kuamua kummaliza mwandishi wa habari kwa kummwagia mikojo ya punda usoni na mwingine kumkata na panga butu.How about mshale wa sumu?kwanza mshale wa sumu unaupiga kwa mbali kwahiyo unapunguza risk ya kukamatwa na kuiumbua serikali.yaani mawaziri...
  3. Shetani

    2008 Kwa Mujibu wa Shetani

    Ndoto iliisha kwasababu uliiba mchele ndani kwenu ukaenda kujipikilisha kwenye vikopo vya TanBond. We shy hayo maandishi ya herufi kubwa ni kinyume na ustaarabu wa kwenye intaneti,badilika.
  4. Shetani

    2008 Kwa Mujibu wa Shetani

    1.mgogoro mkubwa CCM,vigogo kadhaa kufukuzwa unachama. 2.Kabwe Zito kupauka kisiasa,madeni na fadhila za matajiri wa Ccm kumzonga, kuoa bint Mgumia his 'baby's mama' 3.mbowe kuachia ngazi degree moja, kukamatwa kwa biashara ya unga na kuiba documenti kuhusiana na deni lake la NSSF 4.balali...
  5. Shetani

    Tanzanian 2007 Person of the Year

    Time magazine leo wametaja Viladmir Putin person of 2007, kazi iko hapa jf kuwapiku Times. Mpeni tuzo Shetani mtakuwa mmewapiku.
  6. Shetani

    Meeting with Mr. President

    we nenda kanywe chai tu huko na kumpigia makofi jk. Halafu tuletee umbea wa kawaida wa hapa kuhusu fanicha za Ikulu, unene wa JK, vikombe vya Ikulu nk.
  7. Shetani

    Tanzanian 2007 Person of the Year

    hiyo shortlisted kwanza imepatikana kwa vigezo gani? We ungeacha uwanja wazi tukachagua wenyewe. Unatuwekea multiple choise kwani sisi mazuzu? Sasa kujibu swali lako, the Person of the Year award is shared by God and Satan. They had a great duel this year with many of God's followers trying out...
  8. Shetani

    Do something!

    We Mdanganyika kama huwezi vumilia gharama ya freedom speech jitie kidole mdomoni utapike nyongo hiyo.
  9. Shetani

    Do something!

    Kumrazi kitumbua sio andazi. Shetani kachoshwa na haka katabia ka kila mbongo kuwa analyst kila mbongo politiaion kila mbongo spy kila mbongo mjuaji wa kila kitu matokea yake tunapigana longolongo tu hadi Yesu wenu atakaporudi (na kawapiga fix harudi ng'o). Ili tuendelee tunahitaji kitu kimoja:-...
  10. Shetani

    Do something!

    Laana kuu ya wabongo ni longolongo na woga. Do something ~@$&%! La sivyo kaeni kimya maanayake malalamiko na manung'uniko pekee bila vitendo ni kichefuchefu. Angalau basi jiungeni na CHADEMA ili mijitu mijinga kama Chacha Wangwe ikose kuongoza maanayake kama ndio aina ya viongozi wa upinzani...
  11. Shetani

    Kashfa nzito dhidi ya Manji...

    Halafu unawasha moto kwa mijitu mimafia ambayo imekata tamaa na maisha, subiri sasa kiama baada ya masaa 240.
  12. Shetani

    Kashfa nzito dhidi ya Manji...

    waarabu wa pemba.... wewe utajuaje Manji bwabwa kama hajakuomba tako? Jamani hivi Jf imedorora kiasi hiki? Mada za kisomi ziko wapi? Wewe MM Mwanakijiji aka Halisi mnafiki sana. Siku zote unasema mambo ya kula au kuliwa ni mambo private hata kwa kiongozi kama Zito. Leo mgosi wa Tanga mwenzio...
  13. Shetani

    Salamu za Mshikamano kutoka kwa M. M. Mwanakijiji

    Eti mapambano ya fikra, mapambano ya fikra wakati wanafunzi wanakunywa uji usio na sukari na hawana sabuni za kufua! Nyie mlioshiba ndio mnaongea lugha za mapambano ya fikra. Upuuzi mtupu! Mwanafuzi wa pale Ilboru yeye anataka kufaulu mtihani wake wa form four afanye practicals zake wewe unasema...
  14. Shetani

    Salamu za Mshikamano kutoka kwa M. M. Mwanakijiji

    Sasa na wewe Mwanakijiji umetuma salamu za mshikamano kama nani? Au kwasababu unapenda publicity? Wewe mtu uko hapo Troy (Birmingham) unatengeneza kitambi kwa fast food halafu unawaambia wanafunzi wanaokula bondo pale Loleza wagome eti wakatae. Wakipigwa mabomu ya machozi all you are going to do...
  15. Shetani

    Moto Ndani ya CC: Mbowe azuiwa ku-chair kikao!

    Kama ndio anavyoandika hivi na kujibu hoja kwa namna ni wazi kwamba atapigwa goli muda si mrefu. Kwanza tumpe pole kwa arthritis, labda ndio tatizo.
  16. Shetani

    Moto Ndani ya CC: Mbowe azuiwa ku-chair kikao!

    Wewe ndio unajua leo?
  17. Shetani

    Moto Ndani ya CC: Mbowe azuiwa ku-chair kikao!

    Mbona unahamaki Mwenyekiti? Ndio maana unakaribia kunyang'anywa Chama kwa vitabia ambavyo havielekei na nafasi ya uongozi wako.
  18. Shetani

    Moto Ndani ya CC: Mbowe azuiwa ku-chair kikao!

    Mmeshikwa pabaya safari hii mtatafuta majina mpaka kiama. Mwenyekiti wenu naye anaingia na jina la bandia wakati aliwaambia wanachama wake hapa wawe na ujasiri wa kuingia na majina ya kweli akitupiwa kadongo anahamaki.
  19. Shetani

    Moto Ndani ya CC: Mbowe azuiwa ku-chair kikao!

    Mwenyekiti Press Conference saa ngapi? Tetea ulaji, la sivyo dogo atakupiga bao.
  20. Shetani

    Moto Ndani ya CC: Mbowe azuiwa ku-chair kikao!

    Sasa wale waliokuwa wanasema Zitto asiingie kwenye Kamati wajitoe CHADEMA ama sivyo nao tuwaite mambumbumbu wa kufuata nidhamu ya Chama. Hapa Mbowe kapigwa bao na huu ndio mwisho wa ndoto yake ya kuwa Rais wa Jamhuri yetu. Watatudanganya viini macho leo kwamba yameisha na CHADEMA iko moja lakini...
Back
Top Bottom