Kwanza nipende kutoa shukrani kutokana na maboresho yaliyofanywa na mwekezaji katika kuboresha soko la CCM, Katoro Geita, Changamoto kubwa iliyoibuka baada ya Mwekezaji kushika hili soko ni unyanyasi mkubwa unaofanyika kwa wafanyabiashara wadogo wadogo, ikiwemo;
1. Mkuu wa mkoa wa Geita, ndugu...
Nishawahi kutembelea maeneo mengi nakuta kuna siku maalumu ya usafi, mfano mkoa wa Geita huwa wana utaratibu wa kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi ni siku ya usafi, ambapo wiki hii imeamuliwa ifanyike siku ya Jumamosi
Jambo linalonishangaza ni kwamba siku ya usafi maduka huwa yanafunguliwa na saa...
CCM kama taasisi inayoshika dola na taasisi yenye miradi mingi kulinganisha na taasisi nyingine hasa vyama vya siasa . CCM imempa mwekezaji kujenga soko la CCM kisasa ,kiukwel ni nia nzuri ukiangalia ramani yake linaenda kuwa soko bora na la kisasa ukilinganisha na masoko mengi yaliyopo hapa...
Nilikuwepo katika mji mdogo wa Katoro kipindi Alphonce Mawazo anafariki. Nakumbuka kulikuwa na mkutano wa Chadema katika ukumbi, maarufu kama Makungu na hyo siku ilikuwa ni mechi ya Yanga anacheza TP Mazembe.
Tukiwa tunaangalia mpira tulipata taarifa kuwa Alphonce mawazo amekatwa mapanga maeneo...
Hii dunia bhana ina maarifa mengi yaliyojificha. Kuna kipindi niliwahi pata vifungo vya kichawi, nikawa naenda kinyume na dunia inavyotaka. Basi, baada ya kupambana muda mrefu bila kupona, nilikutana na rafiki yangu mmoja ambaye tulikuwa tumepotezana muda mrefu baada ya kuwa tumeachana 823 KJ...
Wana JF ebu tuambizane ni tukio gani lililowahi kukusibu mpaka ukawa na mawazo ukakosa usingizi kabisa ,usiku wa manane ,Kwangu Mimi.
1 .Tukio la kwanza niliwahi kukosa usingizi baada ya kupata kesi ya kumpa mwanafunzi mimba nikiwa mitaa fulani ,usiku huo ulikuwa mrefu sana ,nilisubiri sana...
Kutokana na mgogoro ulioibuka wa wafanyabiashara wadogo wa soko la CCM Katoro Geita , takribani wajasiriamali 300 ,wanatakiwa kumpisha mwekezaji mpya wa kujenga soko hilo na kumpisha mwekezaji mpya katika hilo soko .Leo tarehe 11, September ,machinga wa soko hilo wakishirikiana na wajasiriamali...
Wana JF,
Naomba kuuliza kwa sasa course gani ni nzuri kati ya hzo kwenye soko la ajira maana ndugu yangu amechaguliwa clinical officer (Ndolage) na Medical laboratory Bugando.
Ipi ni bora ukizingatia soko la ajira kwa sasa.
Asanten
Ndugu wana JF,
Niliomba kuuliza Ordinary Diploma zinazotolewa Bugando za afya, zinakuwa chini ya NACTE, yaani namaanisha, wanakuwa na mtihani wa mwisho unaotoka Nacte kama vyuo vingine vya kati, mfano city college, Chato college.
Au chuo chenyewe ndo huwa kinatoa kipimo cha ufaulu kwa...
Serikali kupitia bodi ya Mikopo waliahidi kutoa mikopo kwa wanafunzi wanaotakiwa kujiunga na vyuo kwa ngazi ya diploma kuwa mwaka huu wanafunzi hao pia watanufaika na mikopo hiyo, baadae bodi ya Mikopo ilitoa tangazo katika mitandao yake ya kijamii kuwa, utaratibu kwa wanafunzi wa vyuo vya Kati...
Nilikuwa maeneo ya Katoro ,soko kuu la ccm, nimeona wafanyabiashara wa eneo hilo na machinga wa soko wakilaumu kuwa wamepewa notisi ya siku 49 kupisha mwekezaji mpya wa kujenga hilo soko, ambae amepewa idhini ya ujenz wa hilo soko bila kupewa ushindani wa watu au wawekezaji kushindania, hivo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.