Search results

  1. M

    TBC1 na Moudoudo

    nafikiri hawa wachina hawaja walipa pesa zao hao tbc1 wachovu,unakatisha tu program kwenye luninga tena ya taifa inaonekana world wide embu badilikeni jamani toeni taarifa huo sasa uswahili.....fools hao wameniudh sana kutukatishia uhondo!
  2. M

    Unakumbuka wapi?

    dah!kiukweli nahisi nilikuwa mama nyaaaa!yani najifunza kutembelea vitu.
  3. M

    nyimbo hizi na hisia zake

    nahisi bado nilikuwa sijaujua muziki kipindi hicho!so no coment napita tu!
  4. M

    Ajali ya Basi la Tashirifu leo

    Sijawahi kuona wala kusikia dah hiyo kali,ila wale wote walio patwa na majeraha mungu awape nguvu.
  5. M

    Vyombo vya habari tz igeni kwa wenzenu kenya si vibaya.

    Nimekuwa nikufuatilia kwa ukaribu sana sanaaa taarifa zetu za habari hapa nyumbani tz,Kenya na hata Uganda lakini nika note kitu kwamba kuna mapungufu makubwa sana katika uwasilishaji nikajua ni kawaida kwetu kusingizia bado tupo chini kiteknolojia, lakini nikafanya uchunguzi kwa ukaribu kujua...
  6. M

    Nashangazwa sana na majina ya vyama vya kisiasa hapa nchini

    habari ndugu zanguni wana j.f nashangazwa sana na majina ya vyamavyetu vya siasa,hivi tunashindwa kutumia majina ya kwa lugha yetu ya taifa,me nahisi niukosefu wa uzalendo,na naona hii ni bado hali ya kutawaliwa!!
  7. M

    ITV Washindwa Kuliandika kwa Usahihi Jina la Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi

    Naomba wachangiaji wote mlio mkandia mwenye mada wapi kaandika yume,msiwe wanafiki.
Back
Top Bottom