Search results

  1. H

    Uchaguzi DARUSO: Ni CHADEMA vs CCM?

    Kampeni za Uchaguzi wa Rais, na Makamu wa Rais wa Serikali ya Wanafunzi, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, UDSM, zimeanza. *Wagombea Urais ni watatu katika kinyang'anyiro hiki. Bw Egidy Mkolwe ambaye ni mmoja wa wagombea, anatarajiwa kuzindua kampeni zake katika ukumbi wa Yombo 4, hapa UDSM...
  2. H

    Ni kweli watu kutoka Makabila haya hawaelewani?

    *Wana-JF, MMU, mimi ni Mchagga, na nipo chuo fulani hapa Tanzania. *Ninaishi room na Wahaya wawili. *Tatizo ni kwamba najikuta ninagombana nao mara kwa mara kwa sababu naona kama wana dharau hivi, wana kejeli, maneno mengi, na nikiongea kitu ni kama wanachukulia as if nimeongea pointless...
  3. H

    Mgomo wa Shuttle UDSM

    *Kwa sasa wanafunzi wengi wanapata tabu ya usafiri wa kutoka Mabibo Hostel kwenda DUCE, Mwalimu J.K. Nyerere Campus[zamani Mlimani Campus], na SJMC. *Wale wanaotokea Mabibo kwenda J.K.Nyerere Campus, wengi wao wamelazimika kutembea kuepuka gharama kubwa ya kupanda gari mbili, yaani kutoka...
  4. H

    CHADEMA Kidedea Urais SAUT

    Habari kutoka SAUT, Mwanza, ni kwamba mgombea urais wa SAUT[CHADEMA] Bw. Mcheshi amepata ushindi wa kishindo na amemgaragaza vibaya mgombea wa C.C.M. Bw Peter *Itakumbukwa kuwa jana, C.C.M. waliripotiwa kumwaga kiasi cha shs mil 8 kuwarubuni wapiga kura.
  5. H

    Uume kutosimama asubuhi

    -Je, kuna tatizo kama uume haujadinda wakati mwanaume yupo usingizini, na pale aamkapo asubuhi? -Dr. Ndodi amewahi kusema kuwa NI DALILI ZA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME kama UUME UTAKUWA UMELALA i.e., huajadinda wakati mwanaume yupo usingizini, na pale aamkapo. -Je, Dr. Ndodi yupo sahihi, au...
  6. H

    Akitongozwa ananiambia

    *Wadau wa JF, MMU, naomba mnipe mwongozo kwa hili la mpenzi wangu. *Kuna mambo mawili yamejitokeza hv karibuni: * kwanza, juzi alinipigia simu[hatuko mkoa mmoja, anasoma] na katika maongezi akasema kuwa X-boy wake kampigia simu nanukuu.."eti kanipigia simu, nikamuuliza leo umekumbuka...
  7. H

    Kanisa lanusurika kuteketea kwa moto Zanzibar asubuhi ya leo...

    Wana-JF, kwa mujibu wa Radio Wapo, ni kwamba kuna Kanisa limechomwa huko Zanzibar alfajiri ya leo. Moto ulizimwa, na hakuna majeruhi,ila eneo la Madhabahu liliungua. ================== updates Breaking news ya asubuhi ya leo kanisa la Shalom Ministry mkoa wa Kusini unguja limechomwa moto na...
  8. H

    Wizara ya prof. Mwandosya vipi...!

    Mwandosya ni Waziri Ofisi ya Rais Asiye na Wizara Maalum -Bila shaka hii Wizara haina bajeti, Katibu Mkuu n.k -Kama haina bajeti, na Mwandosya ndiye sole worker, mshahara anapewa kutoka wapi? -Mwandosya na Waziri Mwenye Wizara Maalum, ni nani senior? -
  9. H

    Kama wewe ni msichana na upo single, nitumie pm

    Nipo serious!
  10. H

    Je, ndoa hii itakuwaje??

    Boy: Age: 25 years; Education: degree Girl: Age: 22 years; Education: Form Four Je, kuna tatizo hawa watu wakioana? Naombeni mawazo wana-JF
  11. H

    Change into english

    Change the following question into English: Wewe ni mzaliwa wa ngapi?
  12. H

    NATAFUTA MCHUMBA, Umri 18-22

    ......
  13. H

    Je, Wajua?

    Katiba ya Marekani ina KURASA 6 tu!
  14. H

    Natafuta girlfriend

    Awe mkatoliki kama mimi, miaka 18-22. Aniandikie pm. Mimi nina miaka 25
Back
Top Bottom