Search results

  1. D

    UWATA wamesambaratisha familia yetu

    Mnamo mwaka 2013 baba yangu alikutana na mchungaji mmoja huko Moshi na baba yangu akamueleza kiu yake ya kuwa karibu na Mungu kwani ujana wake hakuwa mtu wa kwenda kanisani. Mchungaji(jina limenitoka lakini ningemtaja) akamueleza habari za uwata na kwamba angemkutanisha na kiongozi wa dhehebu...
  2. D

    Looking for a legal officer/ intern?

    Natafuta ajira yoyote inayoendana na elimu yangu na hata nafasi ya ajira nyingine zozote kwasababu nina uwezo wa kujifunza haraka na kuendana na mazingira mbalimbali. Natanguliza shukrani za dhati. Mawasiliano: 0779118411/ 0659134566(whatsapp). dorcasshayo@gmail.com
  3. D

    Job seeker!

    Habari, Natafuta ajira yoyote inayoendana na elimu yangu na hata nafasi ya ajira nyingine zozote kwasababu nina uwezo wa kujifunza haraka na kuendana na mazingira mbalimbali. Natanguliza shukrani za dhati.
Back
Top Bottom