Search results

  1. Moyo wa nchi

    Ngorongoro na Loliondo ni Emirates za uarabuni

    Tulitakiwa kushtushwa na mikataba ya Loliondo na Ngorongoro kabla ya huu wa bandari. Maeneo hayo ameshapewa mwarabu bure kabisa, Masai wamefukuzwa na wanafukuzwa japo walikataa na wanakataa. Kwa namna serikali hii ilivyo ni lazima kutakuwa na mauaji ya raia ktk maeneo hayo. Wabunge wa umoja...
  2. Moyo wa nchi

    Makubaliano ya ovyo hayawezi kuleta mikataba mizuri

    Habari zenu, Ingawa sikubaliana na hoja za utetezi za viongozi wa serikali na ccm yao kwamba huu SI mkataba Bali ni makubaliano. Ni ujuha kusubiria embe chini ya mkorosho, Hawa wapuuzi wanaamini kwamba hata kama haya Wanayoyaita makubaliano yatakuwa ya kijuha basi matokeo yake yatakuwa mazuri...
  3. Moyo wa nchi

    Hivi kwanini Serikali isione haja ya watumishi wa umma kufanya kazi kwa mikataba ya muda mfupi?

    Tatizo la ajira limekuwa kubwa hapa nchini, wenye vyeti vyao wanadhurura mitaani ajira hakuna, hasa ukizingatia na mfumo wetu wa elimu unaomuandaa mhitimu kuajiriwa na serikali na si kujiari. Hivi kwa mazingira ya sasa kuna ulazima gani wa kuwang'ang'ania watumishi miaka 55 au 60 ndipo...
  4. Moyo wa nchi

    Rais Samia kuziba masikio?

    Kama mtakumbuka hata Rais wa Awamu ya Tano alishupaza shingo na kuziba masikio kwenye mambo mengi waliyoyalalamikia wananchi. Alikuwa hashauriki, inshu ya Makinikia aliziba masikio na hakusikiliza ushauri wa mtu yeyote. Mbaya zaidi alivuka mipaka na kuwadhuru, kuwapiga, kuwafungulia kesi za...
  5. Moyo wa nchi

    Wazanzibar Wana kisasi/chuki na hasira kwa watanganyika

    Kama ni mfuatiliaji wa mijadala mingi ya wazanzibar, Muungano Wana uchukulia kama ukoloni. Hawaupendi, hawautaki na hawako tayari kuendelea nao hata lisaa lkn hawana namna ya kufanya kwani hata viongozi wao ni vibaraka wa ccm Tanganyika wanaochaguliwa Dodoma. Wanadai Kuna fursa nyingi...
Back
Top Bottom