Search results

  1. jikuTech

    Namna 2 za Kunufaika na Tehama Kiuchumi, Vigezo 3

    Ukijifunza mkakati huu Itakuwa sio lazima u post kila siku biashara yako, ni mara moja tu , na ndio muda sahihi wa kulipia tangazo lako yaan sponsored ad ambayo inaweza kukupa matokeo https://mailchi.mp/c19b07d53f1b/fursa-mtandaoni-kiuchumi
  2. jikuTech

    Jinsi ya kufanya Software development kwa Urahisi

    Mada Software Development Mwelekeo wa tasnia ya kutumia kutekeleza program yako 1. Ama. Web development 2. Mobile App development 3. Ama Desktop App development 4. Ama Analytics Systems N.k - Nadharia zenye msaada kwenye software development A. Data structure B. Algorithms C. Object Oriented...
  3. jikuTech

    Jifunze Android Development kwa gharama ndogo. Tsh 85,000/=. Hiyo sio chuo ni street

    Mafunzo ni online vigezo uee na computer, ujue kusoma na kuandika
  4. jikuTech

    Nini Maana ya AI (Akili Mnemba)

    Nini maana ya AI? Ni akili ya mashine au program kinyume na akili ya binadamu au wanyama. Kukua kwa sayansi na technology kimewezesha uvumbuzi wa vitu vingi sana. Fikiria mtu anavyo zaliwa maana yake ana empty mind yaani akili yake inanakuwa haina hata kumbukumbu moja wala uzoefu wowote ule wa...
  5. jikuTech

    Mtaala wa Mobile App Development na java Programming Language

    Yaliyomo Yaliyomo 1 Week 1 4 Introduction to Android development 4 Overview of the Android platform 7 Setting up the development environment 11 (Android Studio) 11 Understanding the project structure 18 Week 2 24 User Interface Design - UI/ Usanifu wa Kiolesura cha Mtumiajia 24 Introduction to...
  6. jikuTech

    Hii ndio namna inayoweza kukupatia pesa kwenye mitandao

    YALIYOMO NINI MAANA YA NICHE NA JINSI YA KUTENGENEZA 2 Kwanini sasa tunakuwa tunazungumzia Habari ya niche? 5 MANUFAA MAKUBWA YA KUMILIKI FOLLOWERS WA NICHE FLANI 14 WATU WANAOTAMANI KUJIPATIA KIPATO KUPITIA MTANDAO 15 Affliate marketing 18 Freelancer 32 Publisher 34 WATU WANO TAMANI...
  7. jikuTech

    Kipato kwenye TEHAMA na taaluma yake hakina ukomo

    Kwenye ulimwengu wa vitu vinavyo shikika ni ngumu sana kutengeneza jamii yako ambayo wanaweza watu kusikiliza unapo kuwa na jambo lolote la kusema kuhusu wewe jambo ambalo linahusiana na wao kwa manufaa yako binafsi. Ila kwenye ulimwengu wa TEHAMA ni hakuna mipaka ya kutengeneza jamii kwa namna...
  8. jikuTech

    Jiajili kwenye TEHAMA

    MUONGOZO WA PROGRAMMING NA UTEKELEZAJI WAKE KATIKA MAZINGIRA HARISI. SOFTWARE ENGINEERING Ni taaluma ambayo inatumia kanuni za uandisi (engineering principal) ku design, kutengeneza, kuboresha, kujaribisha na pambanua mifumo ya software ambayo ina ruhusu compyuta kufanya utendaji mbalimbali...
  9. jikuTech

    Katika tehama kuna haya maneno Hardware na Software

    Katika Tehama kuna haya maneno HARDWARE na SOFTWARE software nikama control ya hardware.
  10. jikuTech

    Ufahamu wa Computer Kwa Ujumla

    COMPUTER LITERACY UTANGULIZI KUHUSIANA NA COMPUTER Nini maana ya computer Kompyuta ni kifaa cha kielektroniki ambacho huchukua taarifa/maagizo kutoka kwa mtumiaji na kuchakata taarifa / maagizo hayo chini ya udhibiti wa mipangilio ya maelezo maalum (inayoitwa programu) na kutoa matokeo (pato)...
  11. jikuTech

    General Software Development for All Interested

    Robotics imeundwa na vitu vitatu Umeme Mechanical Os(Operating System) Umeme -->>>>electronics engineering Mechanical --->>>mechanical engineering Os ------- Software Engineering Kuja na madini yako watu wa elewe zaidi
Back
Top Bottom