Search results

  1. B

    Bei ya shamba arumeru

    Habari wadau , nauliza bei ya mashamba wilaya ya arumeru kwa ekari moja, mweye kujua
  2. B

    Kati ya Kondoa au Karatu, wapi ntapata faida nikilima vitunguu?

    Habari za majukumu wakuu, Naomba kujua mwenye uzoefu na kilimo cha vitunguu, katika eneo la Kondoa au karatu wapi naweza pata faida, mtaji wangu ni tshs 100,0000.
  3. B

    Msaada bei ya gunia la dagaa wakavu mwanza

    Habari za majukumu wakuu, naomba kufahamu bei ya gunia la dagaa wakavu toka mwanza, musoma au bukoba na gunia ilo lina kg ngapi. Biashara hii nataka kuifanya iringa hivyo naomba kujua na gharama za usafirishaji
  4. B

    Msaada wa sehemu ninayoweza kupima COVID-19

    Wakuu samahani wapi naweza kupima COVID 19?
  5. B

    Wakuu wapi naweza pata Covid 19 certificate?

    Habari wakuu naomba mwenye kujua anisaidie kuwa ni wapi naweza kupata covid 19 certificate? Sababu nataka kwenda nje ya nchi nahofia kupata usumbufu boader
  6. B

    Msaada: Nyaraka zinazohitajika kusafiri ndani ya Afrika Mashariki

    Wakuu naomba kujua iwapo nataka kwenda Kenya kwa matembezi ya kawaida, natakiwa kuwa na nyaraka zipi nikifika airport or mpakani?
  7. B

    Msaada bei za jumla mbao Iringa

    Habari za majukumu wakuu, mwenye ufahamu juu ya bei za jumla mbao mkoa wa iringa, 2x2,2x4,2x6,1x8
  8. B

    Naomba ushauri juu ya biashara ya mbali

    Wakuu poleni na majukumu, natarajia kwenda Njombe au Kilolo kununua msitu wa pine ekari moja kisa kupasua mbao za 2x6 ,2x4 kisha nizipeleke mwenyewe kuuza Babati. Sasa anayefahamu kwa undani Faida na hasara, changamoto na Mapitio yote kuhusu biashara hii anijuze ili nipate kujua naanzaje.
  9. B

    Naomba ushauri nina mtaji wa 10m, nifanye biashara gani ya mazao?

    Samahani wakuu, ninamtaji wa milion 10 nipo Njombe, naomba ushauri nifanye biashara gani ya mazao? Nina interest na biashara za mazao.
  10. B

    Biashara ya viazi Njombe

    Msaada anayefahamu bei ya jumla kwa gunia la viazi mkoani Njombe na bei ya kusafirishia kutoka Njombe hadi Dar es salaam.
Back
Top Bottom