Msaada: Nyaraka zinazohitajika kusafiri ndani ya Afrika Mashariki

Bentley

Member
Mar 25, 2023
28
17
Wakuu naomba kujua iwapo nataka kwenda Kenya kwa matembezi ya kawaida, natakiwa kuwa na nyaraka zipi nikifika airport or mpakani?
 
Pasport ukikosa watakupa pepa ya utambulisho ya kusafiria, inabidi uanze kufatilia mapema kabla ya safar
 
Wakuu naomba kujua iwapo nataka kwenda Kenya kwa Matembezi ya kawaida Natakiwa kuwa na nyaraka zipi nikifika airport or mpakani?
East Africa Ni free entry brother ,tafuta tu passport ya muda au Ile ya kitabu unaenda tu ukifika border watakugongea na ukitoka watagonga exit
 
Kama una muda Zaid ya miez 2 kabla hujaenda tafadhali omba passport itakusaidia na itasave gharama nyingi mno kuliko kupewa karatasi ya ukienda tuu ukirud hyo karatasi haina has Tena na ushatumia pesa kupata hyo karatasi.

Vingine vya muhimu n kadi ya yellow fever na covid 19 n hvyo vitatu tuu ndio muhimu na lazima.

Kamahuna utatoa rushwa ambayo gharama yake n Zaid ya kuvipata hvyo vitu hii inamana kila ukivuka lazima utoboke.

N gharama kusafiri kwa uhalali kuliko kusafiri kimagumashi sema ukiwa huna document unakuwa unawasiwasi sana lakin ukifika huko n Kama bongo tuu
 
Kaka hii card ya yellow fever and COVID 19 kiukweli ila naweza kupata kwa Njia gani kiuhalali?
 
Kama una muda Zaid ya miez 2 kabla hujaenda tafadhali omba passport itakusaidia na itasave gharama nyingi mno kuliko kupewa karatasi ya ukienda tuu ukirud hyo karatasi haina has Tena na ushatumia pesa kupata hyo karatasi.

Vingine vya muhimu n kadi ya yellow fever na covid 19 n hvyo vitatu tuu ndio muhimu na lazima.

Kamahuna utatoa rushwa ambayo gharama yake n Zaid ya kuvipata hvyo vitu hii inamana kila ukivuka lazima utoboke.

N gharama kusafiri kwa uhalali kuliko kusafiri kimagumashi sema ukiwa huna document unakuwa unawasiwasi sana lakin ukifika huko n Kama bongo tuu
Yes upo sahihi Kaka passport huwa inaokoa pesa kuliko Ile pass ya dharula,then covid 19 Ni muhimu ukachanja kabisa kuliko ukanunua vile vikadi vyao ,ukiwa umepata Ile chanjo inasaidia Sana Ile kadi utaitumia sehemu nyingi Sana
 
Passport Tayari ninayo ila inabidi nikachanje tu,
 
Hivi utaratibu wa kupata passport upoje wakuu na garama zake?

Ndugu nenda uhamiaji karibu na wewe, utajaza fomu online ya maombi ya passport,barua toka serikali ya mtaa au kutoka kwa mwajiriwa wako,Cheti cha kuzaliwa, cheti cha ndoa Kama umeoa, cheti cha kuzaliwa mzazi au hati ya Kiapo Kama Hana cheti cha kuzaliwa, temporary passport tshs 50000 na permanent passport tshs 150000, mengine nenda uhamiaji watakujuza
 
ahsante mkuu
 
Back
Top Bottom