hlo chukua mimi namaliza chuo mwaka kesho najipanga kuchukua jmbo na bwna maige hatuwez kuwa na madini na raslimal watu na ardhi afu tuish kwnye lile janga la umackin me mdogo lakn niko tofaut kidogo ntalichukua kupitia ccm akinichakachua napesa zake za kifisad narud nyumban cdm.
hv nyie huyo adam mnamjua au mnamsikia igoma imemshnda nyamagana ataiweza? anaongea sawa lakn hatumii busara tumepigana kupata udiwan amepata tu akahama na igoma kaenda kupanga nyakato mara kashkwa na mke wa mtu.ajichunge sana fika stend igoma uone ilivyokuwa 2010 na leo, sa hv hamna hata...
nyie ni walimu c wanafunz ndo hatuna hamu kabsa nahki chuo tunataka kwnda field lakn mpaka nw hutujui tunaenda wap na kwa pesa zp mwka jana tumeenda field tumepewa pesa wiki moja kabla ya kumalza tena zkiwa nusu tumerud tumezdai mpaka kesho nichenga tu.
mazngra ya chuo co mazur coz wanafunz wanaish mbl na chuo afu hawa watoto wanacfa mbya sana kwa wakaz wa mwnza coz mabnt ni malaya sana vjana walev na wahun.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.