Search results

  1. P

    SOLD: Pickup mitsubishi inauzwa

    weka picha na details plz
  2. P

    Zuma's Revenge tamu nyieeeeeee!!! Asikwambie mtu....!!!

    It looks Satanic..... in all aspects. Have you guys noted?
  3. P

    Makubasi

    Jina Lake kamili ni MAKWABAZI. Maana yake ni viatu vya wazi
  4. P

    mercedes Benz ya Bei poa inahitajika

    Ninayo 202 registration yake AWR: Bei Mil 8: Ndo naitumia sasa hivi: Interested? ni pm
  5. P

    Mh Godbless Lema amjibu Tendwa

    Nani asiyejua kwamba Tendwa ni kiazi cha Gamba ....
  6. P

    Mh Godbless Lema amjibu Tendwa

    Damn right! Haitaji rukhsa kutoka kwa adegene, wala tendwa. Arumeru angalitinga with or without tendwa and Adegene coments!
  7. P

    zantel... zantel... zantell

    Achana na bata-vuzi, bajaji na migongo ya chura. Hamia basi kubwa!
  8. P

    zantel... zantel... zantell

    Hamia kwenye basi kubwa. Achana na vibata-vuzi, vibajaji na migongo yachura kiongozi
  9. P

    Waalimu mmeona mfano?

    Waalimu wote primary ni CCM. What d u expect?
  10. P

    Mkuu wa mkoa Arusha aagiza wachaga waondolewe

    Ukitoa wahindi, wachaga ndilo kabila linalopigwa vita zaid hapa tz. Damn them, wako kila mahali
  11. P

    Privacy Law: Mwanaasha J. Kikwete kuwashitaki NECTA?

    And... Has the law maker enacted laws specificaly prohibiting necta, or any other person, to place in public newspaper, or a website, public examination results of public or and private school? If yesn there is a case. If no, the is none!
  12. P

    Gharama za AIRTEL ni hatari

    Mkuu, waombe wakupatie bill print uweze kuona matumizi ya hiyo 45k. Halafu jiridhishe kwamba hiyo simu unaitumia wewe peke yako. Yawezekana pia mtu wa karibu yako (spause/family member/close friend) ameitumia bila wewe kujua? Labda huna full control na simu yako?
  13. P

    Maji Uhai yapanda bei kwa kasi ya ajabu.

    Lita 18 refil ya Maisha imepanda kutoka Tshs 3800 hadi 5000. Nimeuliza Tsn bamaga wamwsema, kupanda kwa umeme, na kukataa bunge kupitisha punguzo la kodi kwenye maji chupa majuzi vimesababisha.
  14. P

    Pinda alifaa kuwa Waziri wa Mashambani na Si Waziri Mkuu

    Angekuwa mkuu wa idara ya MAADHIMISHO Ni :hurt: mwanzo mwisho!!
  15. P

    Mmoja ni JK Nyerere, mwingine ni JK Mrisho. Picha zinaongea

    Mmoja mpiganaji wa ukweli ............ Mwingine Kiazi Cha ukweli
  16. P

    Madaktari bingwa Muhimbili waanza mgomo rasmi

    Huo ndio utekelezaji wa Sera thabiti za Chama. Siku moja tu baada ya maadhimisho ya 35 ya kuzaliwa. Pamoja na ukimya wa mwenyekiti chama .... ukiuliza utajibiwa "ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI"
  17. P

    Nyoka ‘amtimua’ Waziri kanisani

    Pole Kiongozi Mwanri
Back
Top Bottom