Search results

  1. Davy2

    nαhítαjí αdѕєnѕє αccσunt

    mwєnчє αdѕєnѕє αccσunt ílíчσtσα mαrα kαdhαα αjє kwα вσх tufαnчє вíαѕhαrα chαααp!
  2. Davy2

    NAHITAJI ADSENSE ACCOUNT

    Asante kwa ushauri mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Davy2

    NAHITAJI ADSENSE ACCOUNT

    Nahitaji iliyotoa mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Davy2

    NAHITAJI ADSENSE ACCOUNT

    Habar wanazengo....nahitaji non hosted accnt iliyowahi kutoa zaid ya mara 3....mwenye anayo njoo kwa pm tuyajenge chaaap! Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Davy2

    Simu gani nzuri yenye ubora wa camera bajeti yangu 420K mwisho na iwe mpya

    Chek tecno camon 11.....sio mbay Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Davy2

    Kwa wanaoijua k7 msaada huku

    Hapo system ya sim imeanza kuisha....hvyo jitahid kuipa free space ya kutosha kweny disk zake na jitahid kuiboost na kufuta caches....ttzo likizid utabadilisha firmware! Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Davy2

    Msaada wa softcopy ya Basic mathematics syllabus

    daaa...kweli wew hata usome vipi hauwezi kuelimika!! Nina wasiwasi na cognitive yako. Tupo humu kwa kusaidiana na si vinginevyo, huna busara hata kidogo. Na bila shaka wew unasoma o-level na kati ya topic ngumu kwako ni LOG...pole sana.
  8. Davy2

    Msaada wa softcopy ya Basic mathematics syllabus

    Habari zenu guys, naomba mwenye softcopy ya silabas ya mathematics ya o-level anitumie kupitia bucha6@ymail.com. Asante
  9. Davy2

    Unaweza Kusoma diploma ya education ukiwa na degree tofauti?

    Inakubalika sana tu, ila inabidi atumie cheti cha 4m 6.
  10. Davy2

    Walimu wenye diploma wanabaguliwa na wale wenye degree

    hahahaaaa....ndugu mimi ni *diploma holder*, nimefurahi baada ya kutoa lililo moyoni mwako mana czani kama wengine wanalo hili kwa head zao. Kwa experience yangu ya hii kazi, ninaweza kusema taarifa yako inaukweli na ina some individuality points of view. Ninaweza kuorodhesha vitu kadhaa...n...
  11. Davy2

    Ni kweli walimu waliofaulu supplementary 2014 wanatakiwa kuomba Ajira TAMISEMI?

    habari wana JF, naombeni mnijuze kwa maana napata wasiwasi sanaaa. Nimesikia eti kwa walimu waliofaulu mitihani ya supplementary 2014 wanatakiwa watume maombi TAMISEMI ya kuomba ajira. Je kuna ukweli wowote kuhusu hili? Ni hlo 2
  12. Davy2

    A-level private candidate

    am on ze way
  13. Davy2

    A-level private candidate

    habari ndugu, hivi kunauwezekano wa mtu kurudia mtihani wa kidato cha sita kwa masomo mawili ya comb yake? Naombeni mnisaidie kupata jibu sahihi tafadhar.
  14. Davy2

    From NECTA to NACTE

    kila m2 anawez kuwa na jibu tofauti kwa atakavyoiona, ila kwa upande wa wakufunz watajifanya kama wafalme kila ki2 watataka kiende kama wanavyotaka, ila wanachuo watakuwa wanapata adha xan...na mwanachuo atapata matokeo mazur pale 2 hana choko na mkufnz.
  15. Davy2

    From NECTA to NACTE

    kwa jins ninavyofaham nacte itaanz kwa acdmc year 2014/15 kwa ngazi ya diploma. Na itawahusu 1st year 2.
  16. Davy2

    Naombeni msaada

    nyingi sana, we tafuta tcu guidebook zen utafanya best choice and foregone others na wala hakuna oppotunity cost
  17. Davy2

    TCU guidebook

    kama sijaelewa vizuri. Katika hyo guidebook kuna ile column ya admission requirements wameandika diploma(teacher education or NTA level 6) sasa wanamaanisha mtu mwenye diploma ya ualimu, anaweza kuapply degree hata kozi tofauti na ed kwa kutumia cheti cha diploma? Naombeni maelezo kwa aliye...
  18. Davy2

    TCU guide book for academic year 2014/2015

    kama sijaelewa vizuri. Katika hyo guidebook kuna ile column ya admission requirements wameandika diploma(teacher education or NTA level 6) sasa wanamaanisha mtu anaweza kuapply degree hata kozi tofauti na ed? Naombeni maelezo kwa aliye ielewa vizuri.
Back
Top Bottom