Search results

  1. Srebrina

    Msaada jamani ku download kitabu kinachouzwa mtandaoni lakini mi niki download kwa free

    naweza kupata kitabu cha "Computer Time Travel: How to Build a Microprocessor from Transistors"
  2. Srebrina

    Pita hapa, tupate elimu ndogo kuhusu kampuni

    Mfano ipo iyo 2M na tupo watu wawili tunaotaka kufungua company ni taratibu zipi tunatakiwa kuzifata? na nasikia kuna limited sijui na nini kingine yaani twaweza kupata elimu kidogo kuhusiana na haya maswala
  3. Srebrina

    PGM Ina shida gani Tanzania

    Hongera, hivi vitu vinaitaji ujue unaitaji nini kwani hakuna biashara isiyo na faida wala kazi isiyolipa sema watu ndio wasijue jinsi ya kuifanya ila kila kitu kinawezekana. siaminigi mtu akisema sijui kozi hii ailipi maana ingekuwa ivyo isingekuwepo sema inaitaji ujitafakari ndio uchukue hatua
  4. Srebrina

    PGM Ina shida gani Tanzania

    Kama Umechaguliwa PGM kwa kuichagua wewe kutoka moyoni nenda kasome, Mimi nimeisoma iyo combination katika mazingira magumu sana japo sikufaulu nilivyotaka ila sio kozi ngumu. Pili kuhusu outcome ya utaenda wapi after hapo angalia roho yako inataka nini suala la pesa weka pembeni then angalia...
  5. Srebrina

    Kwanini hatuna teknolojia?

    changes inatakiwa ianze na sisi na sio serikali kijana, elewa kwanza hapo
  6. Srebrina

    Kwanini hatuna teknolojia?

    Sio kweli, kitu kinacho tusumbua ni fikira zetu za watanionaje au wataniaminije, kopa gas si ilikuwa ya mtanzania kabla ya kuuzwa na kuna propotype kibao zinapewa pesa ila zinapotea, shida ya tanzania ni njaa na ujinga ila sio serikali, nasema ivo maana nipo kwenye kitengo cha innovation na nina...
  7. Srebrina

    Kwanini hatuna teknolojia?

    Hii ndio shida kubwa iliyopo, mimi nipo chuo fulani hapa nnchini na sio kwamba najua vitu vingi sana ila kiukweli wanafunzi tuna visingizio vingi sana, kikubwa huwa tunasema upatikanaji wa vifaa na kingine huwa hatuna shida sana ya kujua vitu kwakuwa wanaotufundisha pia huwa Hawajui, na...
  8. Srebrina

    Kwanini hatuna teknolojia?

    Naomba niongee kidogo kuhusu suala la vyuo na Technology tunayo itaka, kiukweli tanzania ya sasa tumesha haribiwa kiakili, sio kwamba elimu tunayopewa haifai la hasha ila wanaopewa elimu ndio matatizo, dronedrake nadhani utakuwa shahidi kwa upande wa career ambayo upo ni wanafunzi wangapi...
  9. Srebrina

    Wabongo kwenye masuala ya tech hatupo au mambo hayo yanafanywa na wasio na elimu nayo?

    Kiukweli bongo bado tuko na aina fulani ya watu mi nashindwaga waelewa, ila ndio ivo tupambane na hali zetu tu. Sasa mfano mimi huwa kila siku naingia jukwaa hili nakutana na thread zile zile na maswali ambayo sometimes nachekaga kuwa mods wanakuwaga wapi ila ndio watanzania tulivyo kwa...
  10. Srebrina

    Wakati Marekani ikijiandaa kupeleka binadamu katika sayari ya Mars, Serikali ya Tanzania ina mpango gani kuwapeleka raia wake?

    Umeongea vitu muhimu sana mkuu, naomba kuuliza kitu hivi kwani tafiti ni mpaka zifanywe na maprofesa ndio ziitwe tafiti? au kila mtu mwenye uelewa na field flani anaweza ku push
  11. Srebrina

    Kwanini SmartKaya ya Isaya Yunge haijaanza

    Ni kweli lakini kama unaona vipaumbele hakuna na wewe kama mdau unachukua jukumu gani?
  12. Srebrina

    Kwanini SmartKaya ya Isaya Yunge haijaanza

    unazani nini kifanyike ili iwe rafiki?
  13. Srebrina

    Kwanini SmartKaya ya Isaya Yunge haijaanza

    nimepitia website yao inaonekana ilikuwa ni idea nzuri, naona kutakuwa na vitu kati ya viwili vimemchelewesha 1. kuchelewa kupata market au kaona hakuna soko. 2. investment imeyumba, na hii inawakuta wengi sana mpaka makampuni makubwa (lack of fund)
  14. Srebrina

    Tuungane: Mafundi, Watundi, Automation, Robotics

    Ahaa samahani sana babu, mimi ni mwanafunzi tu wa kawaida katika nchi yetu hii ya kimaskini kama wanavosema ila kitu kimoja ningependa kusema ni kwamba kwakuwa hatuna vitu au tunaishi katika maisha duni ndio tulemae na kushindwa kupambana na hiki kinachoendelea duniani, binafsi huwa nashiriki...
  15. Srebrina

    Tuungane: Mafundi, Watundi, Automation, Robotics

    ni hatari ase, kijana anatoa ya moyoni
  16. Srebrina

    Python Vs PHP Ipi inanifaa ? (All beginner's questions) Episode 1

    Sijui kwann hizi mada huwa zinakuwa fupi, yaani sio siri kwa ma developer vitu kama hivi ndio tunatakiwa tuvione sana kwenye hili jukwaa
  17. Srebrina

    Nahitaji kutunza report za research kwenye database naombeni muongozo

    Kutunza au kutengeneza mfumo Wa kutunza ebu kuwa specific hapa
Back
Top Bottom