CCM unakaribia mwisho! nyerere alisema uking'ang'ania sana uongozi mwisho utaogopa kung'atuka maana makosa yazidi mno- this is what is happening to CCM, inaogopa kung'oka maana wana madhambi mengi!
:smile-big:
Ili kuingia bure uwanjani kuangalia mechi kajamaa kakaamua kuruka ukuta wa stadium , ile kutua ndani tu, akajikuta katua karibu na afande, ili kuua soo jamaa akamwambia afande " samahani kaka afande wale walioruka ukuta wanakaa wapi?"
hizo sifa ulizoainisha hazipo kabisa katika miongoni mwa kiongozi bora wa nchi, labda labda angekuwa imamu sawa! kiongozi bora ameainishwa katika sifa alizowahi kutaja mwanafalsafa wa zamani wa kiyunani aristotal,alisema " kiongozi bora huotoka katika kundi la watu wenye busara, kwa bahati mbaya...
kwa vipaumbele vilivyoanishwa ndani ya bajeti kuhusu kilimo ni dhahiri kuwa kilimo kitachukua muda kukua hata kama kikiongezewa mamilioni hayo na mengine! kuhusu miundo mbinu kama chachu ya maendeleo natoa tick,lakini kwa kilimo? sidhani!
Sababu ni kubwa ni kuwa, msingi mkubwa wa ukuaji wa...
CHADEMA wamekuwa wakikosoa bajeti kuwa haikuweka 35% ya pato la ndani,katika bajeti ya maendeleo kama ilivyo katika mpango wa miaka mitano wa maendeleo! sio mwaka jana wala mwaka huu.Mwaka jana walisema ulikuwa mwaka wa mpito! CCM wanaitetea bajeti kwa kusema kuwa asilimia hiyo inapatikana kwa...
kiongozi wa nchi moja, alitembelea uingereza. katika maongezi na malkia alimuuliza siri ya mafanikio ya nchi yake. Naye malkia akamwambia kuwa hupima busara za wasaidizi wake, kabla ya kuwateua au kuwaapisha,kwa kuwauliza maswali madogo lakini ya mtego, ili kutoa mfano hai malkia akamwita waziri...
walevi wana mambo bwana! Wengine wawili walikuwa wanakunywa mmoja akatoa kioo kidogo akajiangalia, akamwambia mwenzie "hii sura sura kwenye kioo sio ngeni lakini nimesahau nilipoiona" Mwenzake akampokonya kile kioo, akajiangalia akamwambia " wee umelewa nini, huyu si mimi!!"
mlevi kalewa chakali, hata tundu la ufunguo katika mlango haoni anaangaika kuingiza ufunguo afungue mlango.Trafiki kasimama pembeni anamwangalia mlevi huyu! hatimaye anamfuata na kumshika bega, anamwambia "hebu suburi kidogo bwana,unataka kuniambia una mpango wa kuendesha gari katika hali hii?"...
mume anaingia ndani kutoka kazini na kusema."mke wangu nina matatizo makubwa"
"sema tuna matatizo mume wangu sisi tu mwili mmoja" mke anapoza
"ok! tuna matatizo mke wangu, tumempa mimba secretary wetu" mume anasema.
Mavazi kama ilivyo ngoma,vyakula,lugha mila na desturi nk ni moja ya tamaduni za taifa au jamii yoyote.Huzuka kutegemea maendeleo ya kiuchumi, kimazingira,kijamii. hayatungwi wala hayapangwi. ukomavu wa taifa ndio hukomaza utamaduni wa jamii.Jamii changa kama tanzania yenye miaka 50 huwezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.