Search results

  1. K

    "SBUpdate Module has stopped working"

    I've been using window 7 on my pc for a couple of months. Some weeks ago, a notification saying 'SBUpdate Module has stopped working' started coming up every couple of hours. I don't remember when it started, and idon't know how to solve it Please help, Thanks!
  2. K

    Uwajibikaji

    Chonde kwa wabunge wazalendo,hebu hojini kuhusu huu mgao wa umeme na kuhusu wizi wa vifaa vya magari,je wahusika wameshindwa kazi?
  3. K

    Theft theft theft!

    Jamani, is it me only au kuna wengine wenye complains kama zangu Naona mitandao ya simu wananihujumu sana,coz nikieka credit and make few calls my balance run out within no time Jamaa wanatunyonya sana
  4. K

    Ver_description

    G'morning members, Mara kwa mara computer yangu (Hp laptop) inadisplay "VER_DESCRIPTION" has stopped working, Tafadhali kwa anaejui maana yake na jinsi ya kusolve hili tatizo naomba elimu.
  5. K

    EWURA na CHAMA CHA WALAJI WAPO?

    Jamani hivi hawa SUMATRA na chama cha walaji wanafanya kazi kweli? Ukipanda kwenye magari yanayojiita luxury hamna ulaxury wowote,mikanda hamna, AC hamna, mavioo ya madirisha yanapiga makelele, na nauli ndo usiseme (especially Dar to Arusha) On the other hand baadhi ya mabus na daladala seat...
  6. K

    Nokia N8

    Hallow wana JF Nina simu yangu aina ya Nokia N8, na huwa ninatumia line ya voda, sasa jana nikaeka line ya Zantel wakawa wamenitumia mameji kibao ya setting za internet Nilipoitoa line ya zantel nikaweka ya voda simu ikawa inadisplay icon ya bahasha ya message muda wote hadi sasa, nimejaribu...
  7. K

    Hodiiii

    Hallow Jf nimejiunga rasmi, naomba ushirikiano wenu
Back
Top Bottom