Search results

  1. tumlack

    Msaada wa 4G bands

    Naomba kujua band za 4G za mitandao hii apa hapa kwetu. 1.Vodacom 2.Tigo 3.Ttcl 4.Smile 5.Smart
  2. tumlack

    Msaada wa kujua umuhimu wa lens hizi za simu

    Wakuu... Nimekutana na jamaa online wanauza lens flani hivi ambazo unaweza funga kweny simu yako, kwa hapa bongo nmeona hadi sh 20,000 kama gharama. Sasa naomba kujuzwa je kuna optimization yoyote ambayo inatokea kama nitafunga hiyo lens kweny simu yangu?
  3. tumlack

    Msaada: LG G2 D802 Boot loop

    Wakuu mambo vipi? Juzi juzi nilikua nafanya update ya lg g2 ktoka kitkat kwenda android lolipop, nilifanya manualy kwa kutumia lg flash tool nikaflash kdz ya lolipop, ila baada ya flashing kumalza simu inaishia kwenye logo ya lg tu. Nimejarbu kwenda kwenye download mode ila shida inakua haiwi...
  4. tumlack

    Msaada: Pointer inajisogeza bila kuguswa

    Wakuu kuna HP pavilion hapa ina tatizo moja, yani pointer sometimes ina move yenyewe bila kuguswa. Sasa nini itakua solution maana driver naona ziko poa.
  5. tumlack

    Laptop kali inahtajka

    mwenye mashine nzur kuanzia co i5 aweke Bei na specs za laptop yake tufanye biashara
  6. tumlack

    Msaada hapa kuhusu Laptop aina ya Nvidia

    Wakuu nilikua nataka laptop kwa matumiz mbalmbal ila nmekuta zingine zina nvidia geforce. Sasa kwa mfano Mimi ni mtu wa PC games kama far cry,NFS,col of duty na mengine hasa racing na games za vita. Kuna umuhimu wa kununua laptop yenye nvidia au radeon graphic ili kucheza games zangu vizur ...
  7. tumlack

    mwenye hp ya i5 au i7

    Wakuu natafuta HP iwe HDD 500,processor speed 2.4ghz,i5 au 7 4th generation, ram 4gb,15 inchez na graphic ziwe nzur tu za kucheza far cry,FIFA hata call of duty.
  8. tumlack

    Msaada wa laptop nzuri

    Mambo vipi wakuu.. Nahitaji laptop nzuri kwa ajili ya matumizi mbali mbali. Sasa nimeziona HP pavilion na hp elite book series, sasa nauliza ni nzuri? Mimi ni mtu wa internet sana huwa napenda kushusha files kubwa, napenda pia games kama far cry, battle field na call of duty hivyo nafikiria...
  9. tumlack

    No audio output device is installed

    Msaada wakuu laptop haina sauti, kwenye icon ya voice imeweka red X.nmejaribu Ku update drivers bado..ila pia nikijaribu kuangalia device manager sioni driver yoyote ya Sauti. laptop ni Toshiba NB 255.MSAADA WAKUU
  10. tumlack

    Natafuta galaxy s2

    Mwenye hyo simu hapo wazee aweke bei
  11. tumlack

    Natafuta galaxy s2

    mwenye s2 aweke bei
  12. tumlack

    Ondoa network lock free kwenye Samsung yako

    Wakuu kam una networklock kweny simu yako ya samsung S series..yaani s1 mpaka s6 basi sasa unaweza toa sim lock bure ndani ya sec 30 tu. kuna apps iko playstore inaitwa Galaxy s unlock ni ya bure..hii apps inatoa network lock bila gharama yoyote.go and chek it unajieleza yenyew tu jinsi ya...
  13. tumlack

    Tatizo kwenye windows 8.1 naomba msaada

    Wakuu habar. Nimepata tatizo hapa linaniumiza kichwa..nilikua naweka partion mpya kweny laptop yngu yenye window 8.1. kwa kutumia AOMEI assistant.sasa baada ya kujiprocess nikakuta pc inaleta ujumbe hui.#your pc needs to be repaired.A requred device isn't connected or cant be accessed. error...
  14. tumlack

    Natafuta galaxy s2

    Wakuu nataka simu tajwa hapo iwe mpya full box. mwenye nayo aweke bei.
  15. tumlack

    Galaxy s4 inahitajika fasta

    wakuu naitaji galaxy s4 full box bajet 430. tiwasiliane whatsapp 0767879784
  16. tumlack

    How to copy crack patch into directory

    Wakuu naomba msaad jinsi gani nitaweza ku copy crack folder into directory.. Hii ni baada ya kujarbu ku crack idm naambiwa ni copy clack folder to directory.
  17. tumlack

    Dc unlocker inaweza kuondoa network lock ?

    Wakuu hiv hii dc unlocker ina uwezo wa kutoa network lock za simu kam huawei vile. au ni kwaajil ya ku unlock modem tu?
  18. tumlack

    Sony xperia z going cheap

    Sony xperia Z inauzwa . IPO kweny hali nzuri android version 4.4.4 black in colour price 550k contact 0767879784 picha ntaweka badae wakuu nipo mbali na simu sasa hiv.simu inakuja na ear phone.
  19. tumlack

    Naomba msaada wa kupata stock ROM ya HTC sensation Z 710A

    Wakuu habari zenu, Mwenye link itakayoniwezesha kupata stock rom ya HTC sensation naomba anisaidie .
  20. tumlack

    TCU wametoa post tayari

    BONYEZA HAPA
Back
Top Bottom