Search results

  1. R

    wali nazi

    jamani dar es salaaam ndo inasifika kuwa na mawali nazi wengi,hasa mitaa ya manyanya,msisiri,mwananyamal keko yote hii nayo km hamjaelewa wale man wanaosaidia kazi za night za wadada...utakutana nao kwenye vigoro almaarufu shughuli,moshi 2nasema discko vumbi
  2. R

    funzo

    kweli nchi ye2 imekuwa chaka la wa2 wasiokuwa na hekma na busara .eti gorofa lililopo posta la poromoka je alaumiwee mkandarasi au serikali yanye mamlaka ya kukagua maendeleo ya mkandarasi,hapo rupia ilipenyezwa,watoto we2 kufeli kwa kiwango kikubwa na wakaguzi wapo na hapo patakuwa pana nn au...
  3. R

    manufaa ya shirika la wanyamapori tanzania

    kweli tuna shirika la hifathi la wanyama pori linaitwaTANAPA kwani limetoke kufahamika na wanaozungukwa na hifathi 2 je kwa wanaoishi miko ya mbali wana nufaikaje na HILI SHIRIKA TANAPA
  4. R

    bodi ya elimu ya juu

    hongeri sana waziri wa elimu ya juu na watumishi wote wa bodi ya mikopo kwa kazi nzuri. Naskitika sanawa pale m2 anapo ji2ma mwingine ansinzia nakutegea Kabla ya bunge la 10 waziri husika alisema ataleta vigezo vya utoaji mikopa katiaka elimu ya juu, naskitika kwa kilichotokea...
  5. R

    kiongozi ni nani?

    fikra ndio uongozi,kiongozi yapaswa aione kesho nakesho kutwa mpka mtondo go! Kiongozi man yake ni kuwafanya wa2 wakubali ambacho hawakitaki,na kuanza kuiona kesho yao japo hawaijui, Mashaka yananiji pale kiongozi anapo peleka taarifa za kazi kwa muke au mume na watoto hapo hakuna fikra bali...
  6. R

    mambo yanavyo kwenda ............

    ni kweli kipindi cha mwalimu tuliaminishwa kwamba kiongo wa nchi hii lazima awe mzee tena mzee wa makamu km 2navyo waona senor leader from chama tawala sina iman km ndio sera zao na chama chao zinasema ivo, uzee ulivyo kuwa unatazamwa lazma uwe na mvi za kutosha ,umri walikuwa hawa angalii...
  7. R

    changamoto

    mapema ni Sawa na kutafuta kitu cheus titi ndani ya giza jeusi totoro so my yangest star they should save there energy and store it still the appropriate time
Back
Top Bottom