Search results

  1. C

    Msaada wakuu..jinsi ya kufuta picha kwenye gallery zilizoingia kwa automatic backup aina ya simu ni

    Heshima kwenu wakuu...aina ya simu ni samsung galaxy note 2, picha nilizopiga ktk simu yangu ya zamani zote zimehamia kwenye simu ninayoitumia kwa sasaivi, sasa kuna mapicha mengi nataka kuya delete lakini hakuna option yoyote ya kudelete, na picha zote zipo gallery na zimekuja kwa automatic...
  2. C

    Msaada: Nashindwa kufungua Jf kwa simu yangu Sumsung Galaxy Note II.

    Wakuu heshima kwenu, simu yangu ni Sumsung Galaxy Note 2 GT N7100 sasa kila nikijaribu kufungua jf nashindwa yaani naweza kufungua tu General forum tu, nikitaka kufungua jukwaa lolote najibiwa hivi' BAD REQUEST, YOUR BROWSER SENT A REQUEST THAT THIS SERVER COULD NOT UNDERSTAND, SIZE OF A...
  3. C

    Eti mimba ya miezi 8 ukitumia kipimo cha Ultrasound huwezi kuona jinsia ya kiumbe?

    Wakuu heshima kwenu, Juzi nilipata malalamiko kutoka kwa binamu yangu, eti alikuwa anawasiwasi na ujauzito wake kua labda ni mapacha kwani tumbo lake ni kubwa mno, hivyo akaenda ktk hospitali moja ya serikali mjini Dar es Salaam, baada ya vipimo ikaoneka sio mapacha ila alivyotaka kujua jinsia...
  4. C

    Hivi kumbe kuna wanaume wako hivi?

    Wanawake ni wasiri sana yaani yote haya yanawakuta...!!lakini jamaa wa hivi kwa kuhonga ni nouma....!!
  5. C

    Msaada:maana ya hii nembo katika bidhaa

    Heshima kwenu wakuu.. Naomba mwenye kujua maana ya hii nembo kwani nimekua nikiiona ktk bidhaa nyingi hasa za viwandani, mwenye kujua anijuze tafadhali.
  6. C

    Umuhimu wa Blood Group kwa waajiri ili Mwajiriwa apewe kitambulisho.

    Heshima kwenu wakuu. Naombeni msaada wa kueleweshwa kua hivi ni kwa nini makampuni mengi hasa ya kigeni au hata nchi za nje, wanapotaka kukutengenezea kitambulisho lazima kwanza wajue gurupu lako la damu? Hii inamaana gani? Au ina umuhimu gani kwa muajiriwa au muajiri? Jamani naombeni...
  7. C

    Jinsi ya kujiunga na Bima ya afya kwa mtu asiyekua mwajiriwa sehemu yeyote

    Heshima kwenu wana jamvini, naomba msaada kwa anayejua utaratibu na namna ya kujiunga na huduma ya Bima ya afya kwa mtu asiye muajiriwa, je ni hatua gani za kufuata na ni katika ofisi gani inahusika na huduma hizo? natanguliza shukrani.
  8. C

    Msaada namna ya kuzuia notification za facebook zisiinge ktk email yangu.

    Heshima zenu wakuu!! Mm natumia Nokia E5 kinachonikwaza ni kwamba text sms zote na comment zote za marafiki zangu wanazo post na kucomment facebook zote zinaiingia ktk email yangu ambayo ni yahoo.com,mpaka mtu akini inbox sms zote zinakuja ktk email yangu sasa emaili yangu imejaa hadi kero...
  9. C

    Chief 1

    Hodi hodi wana jamvini, habari zenu?
Back
Top Bottom