Search results

  1. mayome

    Dawasa wanatupiga

    Nimefanya tathimini nikagundua hizi mita za maji hapa Dar ni majanga sana. Yaani hata ukiwa umesafiri bili inakuja ileile na mita inatembea. Kuna kitu hakipo sawa kwenye mita za maji jamaa wanatupiga. Wanatuumiza sana jamani was galleries tena ufanisi wa mita zao.
  2. mayome

    Nauza makaa ya mawe

    Weka na hapa wengine yunahitaji sema hatupendi kupoteza muda kuwasiliana na wafanyabiashara wasiotoa maelezo yakutosha sehemu kama hii ambayo hata haulipii kuweka tangazo! uko wapi aina gan unazo yapatikama kila unapohtaji au la,?, uwezo wako wa kusupply kwa cku kwa mwez nk. Weka ikibidi bei...
  3. mayome

    Wako wapi wanunuzi wa madini?

    Kwan yanapatikana wap mkuu,? ulichimba mwenyewe au ylinunua? maisha magumu bana na hiz biadhara zetu za matunda noma bana yanaoza tu! Co vibaya kama una habar njema ukanipa PM mkuu!
  4. mayome

    Kwa wasiomjua BENJAMIN MKAPA, tafadhali soma hapa!

    Mkapa alikua mwizi kuliko maraisi wote waloiongoza tz, kikwete anajitahdi kutoa wiz serkalini! ugumu anaoupata jk ni mizizi ya ufisadi iliyowekwa na mkapa! leo jk amesaidia kukutoa mtongotongo ww ili walahu ujue yamayoendelea kwaku yule raisi mfupi alikua hataki ww ujue lolote juu ya wizi wake...
  5. mayome

    Wazo makini la biashara nahitaji partiner mwenye 3-4 Mills za Tz

    yako mambo mengi ndiomaana nimesema yale ya ziada tunaweza tukazungumza nje ya hapa mkuu! kwa mfano tunaweza tukakubaliana mashine na vifaa vinginevyo vitanunuliwa kwa jina la aliyetoa pesa husika badala ya jina la umoja wetu kama taasisi! hilo ni moja lakini kuna njia nyingi ambazo zinaweza...
  6. mayome

    Wazo makini la biashara nahitaji partiner mwenye 3-4 Mills za Tz

    nimesha rekebisha kiongozi nlimaanisha BUCHARY SHOP tena ya nyama ya nyama ya ng'ombe pekee! asante kwa kuona makosa ya uandishi
  7. mayome

    Wazo makini la biashara nahitaji partiner mwenye 3-4 Mills za Tz

    sasa unamuuliza nani hapo mkuu? kama mimi ni tapeli jua lazima ntasema co tapeli ili nitete kazi yangu na kama unauliza members wengine nao sizani kama watakujibu chochote zaidi ya kukurudishia swali kwako! chamuhimu kwa mtu mwenye uhitaji tuwasiliane alafu afanye maamuzi kua huu ni utapeli au...
  8. mayome

    Wazo makini la biashara nahitaji partiner mwenye 3-4 Mills za Tz

    asante mkuu kwa kuliona hilohapo nlimaanisha UTCHERY SHOP duka la kuuza nyama tena ifahamike kua ni ng'ombe tu
  9. mayome

    Wazo makini la biashara nahitaji partiner mwenye 3-4 Mills za Tz

    Habarini wote muliopata hamasa kusoma nilichoandika. Mimi niko na biasha fulani ambayo kwa sasa ipo vizur kwa kiasi. ila nataka kuanzisha line nyingine ya biashara ila swala lamtaji linanirudisha nyuma. kwaufupi maelezo ni haya hapa 1. Aina ya biashara tarajiwa ni BUTCHERY SHOP 2. Eneo ni...
  10. mayome

    Wazo makini la biashara nahitaji partiner mwenye 3-4 Mills za Tz

    Habarini wote muliopata hamasa kusoma nilichoandika. Mimi niko na biasha fulani ambayo kwa sasa ipo vizur kwa kiasi. ila nataka kuanzisha line nyingine ya biashara ila swala lamtaji linanirudisha nyuma. kwaufupi maelezo ni haya hapa 1. aina ya biashara tarajiwa ni BUTCHERY SHOP 2. Eneo ni...
  11. mayome

    I am Looking For a Good Tanzanian Man To Love Me - Please

    Huyu atakus "scammer" ukijichanganya anakupiga
  12. mayome

    Vodacom kwa nini mnatufanyia hivi?

    Voda ni wezi sana hata cheka time ni upumbavu mtupu wanakata dakika kakijifanya umezitumia zimekwisha, hawa jamaa wanatuona cc mazuzu! alafu wanatusumbua sana na sms zao za matangazo yaan inbox yote inajaa sms zao za kipuuzi, alafu wamatudanganya kama watoto mara usopoteze nyongeza yako kwa...
  13. mayome

    Maji ya kilimanjaro na sequa

    Wat for? why do you need to know?
  14. mayome

    Biashara ya forever living

    sana sana singo, tena me wananiboa sana hawa jamaa wanavyofosi kumuelimisha mtu juu ya utumwa huu! mbaya zaaidi hataki kukwambia anajambo gani la kukwambia eti hadi akusumbue kukupa apointment, hawa jamaa lazima wajue saivi hii biashar imesha fahamika sana cku hizi sema co watu wote wapotayar...
  15. mayome

    ujasiriamali umetimiza ndoto zangu

    nyinyi watu wa forever living mnapenda kijipa moyo sana kama waumini wa makanisa ya waliokata tamaa! sa kama na nyinyi ni wajasilia mali kwanini munaendelea kuhangaika na bidhaa za wenzenu muda wote bidhaa toka marekani, hamuoni kua huo nao ni utumwa mamboleo!??? yaan unatumika ukiwa unafurahia...
  16. mayome

    Tenda ya Bomba la gesi ya Mtwara

    ha haaah! subiri bana j mbatia atashusha maelezo muda c mrefu mkuu! cunajua hata richmond ilifunduka KWA KUCHELEWA?
  17. mayome

    Tenda ya Bomba la gesi ya Mtwara

    wacha bana, wanaojua watasema, please relax ze marcopolo
  18. mayome

    Sura mpya ya gesi ya Lindi na Mtwara

    Ni dhahiri kwamba wapinza wamewapotosha wananchi kuhusu gesi ya mtwara na lindi na kusababisha hasara kubwa kwa Taifa, mimi najiuliza hivi kweli Profesa Lipumba ulishindwa kufanya "cost benefit analysis" ili kujua kipi bora kusafirisha gasi au kusafirisha umeme? Nimemtaja profesa kwakua...
  19. mayome

    unakula matonge au vijiko vingapi ili ushibe??

    aiseee! ivi hawa kina chilli na tedo nao ndo inakuaje hapa tena!
Back
Top Bottom