Nauza makaa ya mawe

mshumbusi

JF-Expert Member
Oct 24, 2011
457
231
Ninauza makaa ya mawe .kwa bei nafuu yapo aina zote .please wasiliana na mimi
 
Yanapatika kwa wingi gani na tunaweza tukawa tunayapata kila tunapo yahitaji kwa wingi...kuanzia tan 1 na kuendelea.

Ikiwezekana weka bei ya tan moja tufanye mchakato wa biashara.
 
Angalia PM.
 
Angalia PM.

Weka na hapa wengine yunahitaji sema hatupendi kupoteza muda kuwasiliana na wafanyabiashara wasiotoa maelezo yakutosha sehemu kama hii ambayo hata haulipii kuweka tangazo! uko wapi aina gan unazo yapatikama kila unapohtaji au la,?, uwezo wako wa kusupply kwa cku kwa mwez nk. Weka ikibidi bei kwa jumla reja reja! kiwango cha chini cha kuagiza, !
 
Serious buyers are PM-ing me! Kama unaona utapoteza sana salio kuniPM basi niwie radhi mkuu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom