Search results

  1. R

    Joshua Nassari MB.

    hahahahaaaa! nchi hii bwana ukijua kucheza na akili za wajinga tu basi,mtoto mdogo anawagaragaza watu na vitambi vyao,mvinyo haunyweki,safar haziendeki."kosa vyote ukipata akili vyote vitajileta vyenyewe"
  2. R

    Je, hawa tu ndio CCM vyuo vikuu?

    ukweli wa mambo:kwa mwanafunzi wa chuo kikuu kushabikia ccm nafsi yako lazima ikusute,maana dhambi hiyo itakutafuna mpaka uvue gamba
  3. R

    TETESI: Mheshimiwa Lusinde kuukwaa uwaziri.

    kudadadadadadeeeki!
  4. R

    Swali gumu:Nani kuongoza kampeni za CCM Arusha mjini?

    labda afufuke jk nyerere
  5. R

    Wamakonde kwa biashara bana,hadi raha!

    hahahaaa chafi chana!
  6. R

    Wenye waume JF..TAHADHARI.

    hahahaaa wacwac wa mapenzi jaman waua!
  7. R

    Kuanzia leo wimbo HAKUNAGA naanza kuuchukia..

    yan kwel ukiambatana na wajinga unakuwa mjinga pia suma we ni nan mbele za mashabik wako umesahau kwamba wewe ni kioo cha jamii umeboa kaka
  8. R

    Noti mpya hazina ubora?

    aliyedizaini hiz noti mpya cjui alikuwa mgonjwa kuhara,maana alikuwa yuko fasta ili acje kujharishia alikuwa anakmbilia choon kuhara hahahaaa bure kabisa!
  9. R

    Waraka wa kidini wasambazwa zanzibar kukichafua chadema

    ni anguko kuu la ccm,udini ni moja ya propaganda ya ccm kudhoofisha upinzani piga ua galagaza lazima wakae huu ni msimu wao wa mwisho,buriani ccm!
Back
Top Bottom