Search results

  1. F

    Swali la nyongeza, Bunge litawaka moto

    Muheshimiwa spika, kwanza nashuku kwa kuniona na kunipa nafasi ya kuuliza maswali mawili ya nyongeza. 1. Kwa kuwa mawaziri hao wamekubali kuwajibika na kwa kujiuzuru. Je, serikali inampango wa kuwashtaki na kutaifisha mali zao zote? 2. Kwa kuwa mawaziri hao wamejipima wenyewe na kuamua...
  2. F

    Nanunua ngozi za Mbuzi na Kondoo !!!

    Nanunua ngozi mbichi za Mbuzi au Kondoo zilizotunzwa kwa kupakwa chumvi (Wet Salted) kuanzia ngozi 10,000 na kuendelea tafadhali tuwasiliane kwa simu namba 0659890000 au uni-PM. Ngozi zisiwe na mikato (Cuts), mashimo (Holes) au kuharibika (Red Heat/Over stay). Asanteni.
  3. F

    Hi there! ... Better Late Than Never !!!

    Hello wandugu, Salaam. Naombeni mnisamehe kwa kuingia kimya kimya tangu 16/01/2012. Kwa kweli nakiri kuwa kwa muda huu mchache niliokuwa humu nimejifunza mengi sana kutoka kwenye jukwaa hili. Nawashukuru sana kwa kunipa Plan B katika kupambana na maisha kwani nilikuwa nimejikita zaidi katika...
Back
Top Bottom