Pamoja na sheria kufata mkondo wake, inasemekana aliyepgwa ni ni mtoto wa mkuu wa msafara wa mkuu wa nchi. na yule hakimu alivuta mkwanja toka kwa TIJ na baada upande wa pili kujua wakaende kumsemea mbovu hakima kwamba wameshajua kavuta, hakimu kaogopa ndio siku ya siku hukumu ikatolewa bila...
ni kwamba huyu bwana amefungwa jela Mwaka mmoja na Mahakama moja ya Mwanzo Kariakoo baada ya kutiwa hatiani kwa kumshambulia mkazi mmoja wa Dar.
Haijulikani kama amekwenda Jela ama atalipa faini, lakini kwa kawaida Kosa kama hili mfungwa hupewa nafuu ya adhabu kwa kulipa faini na hasa kama...
ni hivi hiyo ndege ilikuwa imepaki sehemu yake na hilo gari ni la usalama wa taifa lilikuwa linarudi nyuma baada ya kumaliza shughuli za kusafirisha wageni. kuliendelea mjadala mkubwa eti kwa nini ndege imepaki pale, hawa wenzetu bwana badala ya kujiuliza wao kwa nini gari limeingia uwanjani...
joke nyingine bwana, watu wanaongea vitu serious wengine wanaleta utani, au unatamani nafasi hiyo ungepata wewe, tabia zako ni kama jina lao nini?? jaribu kuwa na busara bwana. invisible eeh tafadhali nenda na uje utueleze yaliyojili achana na huyo shetwani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.