Search results

  1. T

    wadada wa kizazi kipya DRC nani zaidi?

    Huyu dada nakuja vibaya sana,nimejaribu kumtizama na kumsikiliza kiukweli naomba nimpe pongeza,viatu vya tshala muana vitamtosha muda si mrefu.....
  2. T

    wadada wa kizazi kipya DRC nani zaidi?

    hapa vipi wadau? Meje 30 Feat Fally Ipupa TSHOBO
  3. T

    Chadema imejiandaa vipi 2015 kuzipata kura za waislam?????

    Tatizo la chadema ni kiburi,hawataki kusikiliza ushauri na kujifanya eti jambo hili halipo.........
  4. T

    Warioba, Salim, Zitto na Slaa washirikiana kufanikisha mazungumzo ya Ikulu

    basi usomi wako haujakusaidia sana unless uuanike kinagaubaga huo unafiki wa naibu katibu mkuu wako na pia naibu kiongozi wa upinzani rasmi huko bungeni,na utueleze je chadema nacho ni chama cha wanafiki kwa kukubali kuwa na viongozi wanafiki?unafiki ni sera ya chadema leo?
  5. T

    Warioba, Salim, Zitto na Slaa washirikiana kufanikisha mazungumzo ya Ikulu

    kwa sababu muislam na chama chetu si cha waislam au?nini unafiki wa zitto basi kama sio uislam wake?ndugu zangu chadema tuache chuki hizi za kubagua watu kwa misingi ya kidini,ili chama chochote kipate ridhaa ya kuongeza na kura zitoshe ni lazima kipate kura za waislam na wakristo kwa...
  6. T

    Warioba, Salim, Zitto na Slaa washirikiana kufanikisha mazungumzo ya Ikulu

    mi nampongeza zitto zaidi kwa kumlainisha dokta na kumfanya aache kuamini katika maandamano,kwa kuwa yangetuumiza sisi kuliko wao viongozi mwisho wa siku,ila slaa nae nampongeza kwa kukubali kulainika na kupunguza kile kisirani chake toka akose urais!
  7. T

    Warioba, Salim, Zitto na Slaa washirikiana kufanikisha mazungumzo ya Ikulu

    mzee hii sio bible kusema kila anatafsiri yake,kitu kiko wazi kabisa usichoelewa kipi ambacho mimi na mwingine tumekielewa,make it easy man why u wanna complicate kitu easy kama hiki,tatizo hapa ni zitto,ndio mana mmehamaki,angekua yeyote hata mabere marando au shibuda kusingekua na tatizo.
  8. T

    Warioba, Salim, Zitto na Slaa washirikiana kufanikisha mazungumzo ya Ikulu

    Umesoma kilichoandkiwa kwenye thread lakini?au umekimbilia kusoma post na kuanza kujibu post,mi nadhani ungesoma vizuri kwanza acha uvivu majibu ya mashaka yako yote yapo kwenye thread,issue imeanza siku nyingi mpaka zitto akaanza kuumwa mambo yalikua yameshaiva anarudi kutoka india ndio wakawa...
  9. T

    Warioba, Salim, Zitto na Slaa washirikiana kufanikisha mazungumzo ya Ikulu

    zipi hizo kamanda?au unataka uwekewe gazeti zima nini?
  10. T

    Nilivyomjua Jerry Solomon Sumari-Ulimwengu

    Jenerali Ulimwengu Marehemu Jeremiah Solomon Sumari KATIKA mambo mazito yaliyonielemea siku hizi chache ni kwamba nilishindwa kumuaga marehemu Jeremiah Solomon Sumari, Mbunge wa Arumeru Mashariki, aliyefariki wiki iliyopita na kuzikwa juzi Jumatatu. Pamoja na utashi wangu na...
  11. T

    Warioba, Salim, Zitto na Slaa washirikiana kufanikisha mazungumzo ya Ikulu

    Bwana mzito Mbowe na Lissu ni wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na pia, Mbowe ni Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni wakati Lissu ni Mnadhimu wa kambi hiyo na wakati ‘mchoro' wa mazungumzo unaibuliwa, wao walikuwa bungeni wakiendelea na vikao vya Bunge, Novemba...
  12. T

    Warioba, Salim, Zitto na Slaa washirikiana kufanikisha mazungumzo ya Ikulu

    Yani mboe wakati mambo yote yakiendelea nasikia alikua amelala usingizi akisubiri posho bungeni,huku dogo akipiga kazi kwa kushirikiana na wazee warioba na salim,na akafanikiwa kumuingiza king DR wa "phd"! dogo agombee tu urais,slaa atakua waziri mkuu,hakuna ubishi hapo,slaa bonge la mtendaji!
  13. T

    Kuuza pombe Zenj is a death sentence!

    Hili suala ni serious jamani tuache utani,zanzibar sio mbali na dar,imeanza zanzibar kesho dar!
  14. T

    Samuel Sitta huwa anafikiriaje?

    wizi mtupu,mzee sitta kaushtukia..mmesahau kule mbarali walisema hivyo hivyo matokeo yake mchele ambacho ni chakula kikuu tanzania uzalishaji ukadrop ile mbaya na mbolokabuli yenyewe haikuzalishwa wala nini,waongo bwana wanakujaga na gia hiyo ili wapate ardhi tu
  15. T

    JK angani tena

    issa michuzi anajua.
  16. T

    Kitabu cha Panga la Shaba

    poa msalimie mzee wa kutoa nyongo hapo..
  17. T

    Khanga Moko Laki si Pesa jamanii eee!!!

    Jamani mliotumwa kufanya promo humu mlifanikiwa,juzi nilipita hapo pahali,aibu!wale wanawake ni made here kweli jamani,nataka kuoa mmoja halafu awe hazai..
  18. T

    Sanaa ya kiuno..balaa!

    Wadau kuna kiuno toka mombasa mji wa kimapenzi mmewahi kukutana nayo hii kitu?unaweza toa ahadi ya kumjengea mtu meli badala ya nyumba...!wanawake inabidi wajitahidi sana hasa walio ndani ya ndoa,mitihani ni mingi sana kwa kina baba,kiwango cha ufaulo kinazidi kushuka siku hadi siku. Tanzania -...
Back
Top Bottom