Search results

  1. E

    Lema amuokoa Mwigulu Nchemba Mount Meru Hotel!

    Ni kazi nzuri sio lazima mtu alzimishwe kuamini kwani inseu ya lushwa ni dhahili inaonekana live ktk uchaguzi.Hao akina mwigulu ni vijana walioibuliwa na kupewa fedha nyingi ili kuendelea kutuhadaa wtz lakini tuaepuke sana kama ukoma kwani ni waizi watupu.
  2. E

    Mkutano wa kampeni CCM Arumeru wakosa watu jana

    Ni kazi ngumu mno kwa ccm kwani magamba yao yameshindikana kuvulika na kinachofuata ni kutoga masikio tu kama mashoga wa USA. So ukimuchagua mtu kama siyoi kurithi jimbo ni kurudi enzi, basi tuanzishe utawala wa kimira ili twende sawa. Si tu kwa mkutano wa Arumeru hata ukiona kwenye ziara za...
  3. E

    Kutoka Zanzibar, CHADEMA yaanza kazi rasmi

    Weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeelll l l l l l l l l l l l l l l l l l!!!!!!!!!! hii ni kazi inaanza but no turning back. Tunajua kwa uhakika hata kama tusipochukua jimbo la uzini ila mbegu zinaendelea kupandwa vichwani kwa raia na si mufukoni kwao kama hao wa chama cha kijani wanavyoiba hela za wana wa...
  4. E

    Ujio wa Asha-Rose Migiro----Tafakari kisha weka maneno kwenye hii katuni

    Huyo ni mwizi tu, Ebu nipeni picha ni kipi katufanyia kama kibaraka wa UN. Atatuuza tuwe waangalifu kwani kisha andaliwa tiyari ulimusikia kin moon. kuhusu ushoga? Tutakua mashoga si muda tujiroge mtaniambia kama tukiwa hai.
  5. E

    Nape jibu Mapigo

    Huyo ni walewale tu waliokunywa uji wa mgonjwa wakamuacha akafa na njaa. hana jipya
  6. E

    Taarifa kwa Umma Kuhusu Mgomo wa Madaktari - CHADEMA

    Ok! watanzania wengi wamekua ni wavivu wa kufikiri kama ilivyowai kutolewa na kigogo mmoja from tanzania ambaye aliamua kua bilionea kwa kuwanyonya raia ili anufaishe tumbo lake na baada ya hapo akaamua kututukana ya kua watanzania nia wavivu wa kifikiri. Hii ni kweli kwani katika mgomo huu wa...
  7. E

    Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

    Ni Kazi nzuri ila vinavyoongelewa sijui kama vinafanyiwa kazi na hao Wasanii wa CCM wakiongozwa na msanii wao mkuu M/kiti wa CCm na mshika pembe wake pinda kwani ni jambo la kushangaza sana kwa yeye Pinda kuona posho ni halali na kwa wabunge na kuwa haramu kwa Madaktari na watumishi wengine...
  8. E

    Musitakabali wa elimu kwa watanzania

    Ni jambo la kushangaza kwa Serikali inayojiita Sikivu huku ikiwa inayumbisha Raia wake kila Kukicha. Mara leo utasikia hakuna Mitihani tena wa Taifa kwa S.T.D IV au FRM II Mara hakuna kulipa Ada za mitihani ya Taifa Kwa SEc. baadae mitihani imerudishwa na ADA za mitihani zinarudishwa vilevile...
  9. E

    Undani wa Freeman Mbowe na Dr Wilbroad Slaa

    Hiyo ndo yenyewe so Keep up. Tuko pamoja na Najua wanamagamba Watalia Tu kuna mwisho unakuja Kwani hakuna malefu yasiyokua na ncha.
  10. E

    Hivi CHADEMA nao ni chama cha kifamilia kama CCM?

    Usikatishwe Tamaa na wapiga propaganda wa Chama cha Kijani kwani always wanataka kuendelea kutuibia Wtz kama unavyoona kwa sasa nchi kuwa gizani Ghalama za maisha kama tunavyoshuudia sasa hivi. Na mwenye macho haambiwi Tazama. Tunaitaji Tz ambayo haina Waizi mafisadi na Wapiga prom. bila kufanya...
  11. E

    Hivi CHADEMA nao ni chama cha kifamilia kama CCM?

    Kazi ni kwa WTZ kuchambua wenyewe, kwangu mimi ninachofahamu ni kwamba Chadema ni chama Makini ambacho kipo kwa minajili ya kila MTZ. So kusema kwamba ni chama cha Kifamilia ni kosa kubwa na ni katika harakati za kufuata mkumbo usichokijua kwani kwa kawaida ya Siasa za Tz kwa watu ambao...
  12. E

    Hii ndiyo CV ya Dk. Hadji Hussein Mponda

    Ok! ni kazi kweli Tz, We nenda hata upande wa Sector ya Elimu tu utawakuta Akina Mlugo ni kazi kwelikweli. Sijui kama ndo Tz tunayoitaka hii. Hata bosi wao ni Kazi ileile.
  13. E

    Nape..January...Mwigulu..mnasikiliza kikao?

    Ok! usidhani ya kuwa wanasikiliza na wako kwenye kikao kiundani. Hiyo ni danganya toto. Ebu jiulize hivi hizi ghalama za maisha zinavyopanda dairy huko kwenye vikao haziongelewi kama kweli wanasikiliza? Take care mjamaa nchi imeuzwa.
Back
Top Bottom