Musitakabali wa elimu kwa watanzania

Jan 14, 2012
13
1
Ni jambo la kushangaza kwa Serikali inayojiita Sikivu huku ikiwa inayumbisha Raia wake kila Kukicha. Mara leo utasikia hakuna Mitihani tena wa Taifa kwa S.T.D IV au FRM II Mara hakuna kulipa Ada za mitihani ya Taifa Kwa SEc. baadae mitihani imerudishwa na ADA za mitihani zinarudishwa vilevile kinyemera. Hivi hii ni Serikali Mikini au ina vichwa vya Wendawazimu ambavyo havifikilii mbeleni kuna nini na ni Aina gani ya Elimu itolewe kwa Raia. Kwani ni jambo la kushangaza na hapo ndo unapoweza kusema kweli hatuna watu makini Serikalini katika kupanga msitakabali wa Elimu ya Bongo Je tutafika kwa usawa huu?
 
serikali ipi unayoizungumzia?maana mimi sihesabu kama kuna serikali
 
Back
Top Bottom