Search results

  1. K

    Tenda

    Habari wana jukwaa tafadhari tupeane na michongo ya tenda pia nadhani kuna watu wamejiajiri kwa sekta mbalimbali itakuwa asanteni
  2. K

    Biashara ya Duka la Rejareja: Ushauri, Mchanganuo, Changamoto na Namna ya Kutunza Kumbukumbu

    Naomba kufahamishwa kwa mwenye kujua duka la rejareja la kuuza mchele, juice na kadhalika linaweza kuitaji mtaji kiasi gani Ibravo post: Habari zenu Wana JamiiForums, Mimi ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa tatu,katika harakati za kujiandaa na kupambana na maisha pindi nitakapohitimu elimu yangu...
  3. K

    makao makuu eco bank tanzania

    tafadhari naomba kufahamishwa makao makuu ya eco bank tanzania yanapatikana mtaa gani?
  4. K

    ndoa za siku hizi!!

    jamani maadili ya ndoa yameenda wapi kiapo cha kuishi pamoja kwa shida na raha mbona vyawashinda wanandoa. Tatizo nini hasa? Ndoa zavunjika kila kukicha kwanini?
  5. K

    habari wana jf

    naomba kukaribishwa humu ndani na kuweza kuchangia na kusaidiwa inapoitajika asanteni
Back
Top Bottom