Search results

  1. Makete Kwetu

    Mahakama Kuu Dodoma, imefuta pingamizi la ushindi wa Ubunge wa Lissu

    Mahakama Kuu, Kanda ya Dodoma, jana ilifuta kesi ya kupinga matokeo ya ubunge yaliyompa ushindi Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lisu (Chadema) katika uchaguzi mkuu wa mwaka jana, kushoto aliyeongozana naye ni mwalimu Samson Mkotya. Ushindi wa ubunge wa jimbo la Singida Mashariki alioupata...
  2. Makete Kwetu

    CHADEMA, Kwanini Hamkuwapeleka Mafisadi wa CCM Mahakamani Na Ushahidi Mnao?

    Kwa miaka mingi sasa hadi kufikia hatua ya CDM kuchukua hatamu za kushika Kambi Rasmi Ya Upinzani Bungeni, walituhamasisha na kutuaminisha wananchi kuwa Chama cha Mapinduzi kina lea na kuishi na mafisidi. Ni kweli tuliichukia CCM na hadi sasa bado tuna hasira nayo lakini mimi najiuliza hivi...
  3. Makete Kwetu

    Arfi kuondoka CCM

    Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara, Ndg.Said Amour Arfi ambaye alijiunga na Chama cha mapinduzi (CCM) hivi karibuni amesema anafikiria kujiondoa CCM na kujiunga na chama kingine cha upinzani (hakukitaja jina), kwa kuwa hakuna demokrasia ya kweli ndani ya CCM. Akizungumza...
  4. Makete Kwetu

    CHADEMA Kigoma wampania Zitto

    Baraza la Vijana Chadema (Bavicha) Mkoa wa Kigoma, limesema litamshughulikia Zitto Kabwe iwapo ataamua kugombea ubunge katika Jimbo la Kigoma Mjini badala ya Kigoma Kaskazini. Akihutubia wakazi wa Kata ya Gungu mjini hapa juzi, mwenyekiti wa baraza hilo...
  5. Makete Kwetu

    Natamani Ningekuwa Zitto

    Zitto ni kijana pekee aliyepata fursa nyingi akiwa na umri mdogo ndani ya chadema, amekuwa mkurugenzi wa kampeni na uchaguzi, baadae naibu katibu mkuu, naibu kiongozi wa upinzani bungeni, na waziri kivuli wa fedha wa chadema. Zitto Zuberi Kabwe ni kijana pekee kwa chadema aliyekuwa anakutana na...
  6. Makete Kwetu

    Mchango wa Mbowe kwenye ujenzi wa CHADEMA

    Na Gwandumi Gwappo Atufwene Mwakatobe Julai mwaka 2002 nilikutana na Freeman Mbowe akiwa na kiu ya kweli ya kuleta mabadiliko na siasa mbadala nchini baada ya kushuhudia kuporomoka vibaya kwa chama cha NCCR-Mageuzi. Akiwa kijana pekee mdogo wa miaka 30 alishiriki kikamilifu kuasisi...
  7. Makete Kwetu

    Hatma ya Mahanga kujulikana Mei 2, 2012!

    HUKUMU ya kesi ya kupinga matokeo ya ubunge wa jimbo la Segerea, yaliyompa ushindi Dk. Makongoro Mahanga (CCM), itatolewa Mei 2 mwaka huu. Katika kesi hiyo inayosikilizwa na Jaji Ibrahim Juma, aliyekuwa mgombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA, Fred Mpendazoe, anaiomba makahama itengue matokeo hayo...
  8. Makete Kwetu

    CCM watavuna nini A-Town

    Hivi wadau najiuliza siku kipyenga kinapulizwa A-Town....MAGAMBA watavuna nini jesh hili likitua Arachuga?
Back
Top Bottom