Search results

  1. Makete Kwetu

    Nataka Rais Magufuli ashindwe

    Mtu mwenyewe kwanza hafai kuwa rais. Hana haiba ya urais, hana hekima wala busara zinazotakiwa mtu wa kiwango cha rais kuwa nazo. Hii mistari miwili tu unatosha kukuvua maana Nyani Ngabu
  2. Makete Kwetu

    Mahakama Kuu Dodoma, imefuta pingamizi la ushindi wa Ubunge wa Lissu

    Mahakama Kuu, Kanda ya Dodoma, jana ilifuta kesi ya kupinga matokeo ya ubunge yaliyompa ushindi Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lisu (Chadema) katika uchaguzi mkuu wa mwaka jana, kushoto aliyeongozana naye ni mwalimu Samson Mkotya. Ushindi wa ubunge wa jimbo la Singida Mashariki alioupata...
  3. Makete Kwetu

    Mkuu wa Wilaya vs Meya wa Wilaya; nani mkuu kimaamuzi?

    Hahahaha mkuu nimeipenda sana sentensi yako ya mwisho....hivi sijui ikitokea DC, Mkurugenzi na Meya wanatakiwa kupanda gari moja sajui nani atakaa mbele
  4. Makete Kwetu

    Mkuu wa Wilaya vs Meya wa Wilaya; nani mkuu kimaamuzi?

    Wewe ndio mpuuzi ungejua
  5. Makete Kwetu

    Kamati za Bunge

    anagalia hapa Public Investments Committee - PIC (Kamati ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma) Public Accounts Committee - PAC (Kamati ya Hesabu za Serikali)
  6. Makete Kwetu

    Genge la Wanafiki wa CHADEMA

    Umsahau kitu kimoja sio chadema tuu...hata huko act..zitto ndio act na act ndio zitto....wengine wote inluding yule prof ni walamba miguuu....yeye ndie alfa na omega wa act
  7. Makete Kwetu

    Mbowe, Jipime kwa mustakabali wa CHADEMA, Kinusuru Chama

    Kichwa cha habari nikajua utakuwa umefanya bonge la uchambuzi!!!!
  8. Makete Kwetu

    Magufuli, Pesa hizi zinatoka wapi?

    Hili swali ulitakiwa kumuuliza kwanza lowasa wakati wa kampeni angepata wapi pesa ya kusomesha chekechea hadi chuo kikuuu? au na wew ulikuwa nyumbu?
  9. Makete Kwetu

    Wasioishiwa pumzi ya kuupinga ufisadi tunakutana hapa!

    Akili yako fupi...ina maana wagombea wako wawili tu!!! au ndio lowasa kakubadilisha hadi uwezo wako wa kufikiri
  10. Makete Kwetu

    Mpaka hapa Dr. Slaa kubali kuwa Lowassa ni ASSET

    mkuu usidanganyike na uwingi wa watu kwenye mikutano...magufuli arusha alijaza na lowasa akaja akajaza pia....una hakika walio enda kwenye mkutano wa magufu sio walio enda kwa lowasa?
  11. Makete Kwetu

    Uliza swali lako mdahalo wa wagombea Urais utakaofanyika Oktoba 18, 2015

    Marudio ya mkutano wa lowassa mwanza jana ulirudiwa kwenye tv gani?
  12. Makete Kwetu

    KUBENEA Vs LOWASSA

    aisee...imani yangu kwa dr slaa inaongezeka mara dufu...hata aitwe dr mihogo au majina yote mabaya duniani hapa mimi sitajali..ukweli utabaki kweli uongo utabaki uongo hata milele na milele.Amina
  13. Makete Kwetu

    Barua ya wazi kwa Mzee Mwanakijiji sehemu ya pili, mabadiliko

    Utapigeje vita ufisadi huku ukiyaacha mafisadi..hapa sawa nakutuambia unapambana na ujamabazi huku ukiyaacha majamabazi yaendelee kutesa watu...piga vita umaskini kwa kumkomboa maskini....kila kitu ni watu...msitudanyanye kwa hilo..
  14. Makete Kwetu

    Picha: Lowassa akiwa Katesh, jimbo la Hamang mkoa wa Manyara

    Ulishampuuza kwa hiyo haina shida...mwache aseme yake ya moyoni....bado tupo ambao tuna muunga mkono hata kwa uchache wetu...hata bunge la 2005-2010 lilikuwa ni bunge la wabunge wachache sana wa cdm lakini impact yake nadhani unajua
  15. Makete Kwetu

    Mzee Kingunge N. Mwiru atangaza Rasmi kuachana na CCM

    Hili swali mbona halijajibiwa? SWALI(Mayage): Kama CCM mngemteua Lowassa, ungayasema hayo ya kusema unataka mabadiliko? Jibu: Mimi wakati wote nimekuwa nina matumaini kwamba ndani ya CCM tunaweza kupata watu wanaoweza kubadili hali ndio maana niliamua kupambana ndani ya chama changu tukaenda...
  16. Makete Kwetu

    Ninapenda Magufuli ashinde lakini nataka CCM ishindwe!

    endelea kuamini kuwa mimi Lumumba.....ukitaka fuatilia comments zangu kabla ujio wa lowassa
  17. Makete Kwetu

    Ninapenda Magufuli ashinde lakini nataka CCM ishindwe!

    Mkuu nakuunga mkono kabisa....nafsi yangu hainitumi kabisa nimpigie kura Lowassa ingawa nimeipenda chedema kwa mda mrefu sana....nashukuru leo nimepata jibu....kura yangu udiwami cdm, ubunge cdm uraisi nasikitika sana kwamba nitampigia magufuli....kwangu kibaya hiki ni afadhari kuliko lowassa
  18. Makete Kwetu

    Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA

    Nafsi yangu hainitumi kabisa kumpigia kura Lowassa kwa sababu siamini kama kweli ni mpinzani
  19. Makete Kwetu

    MCT wanaoandaa midahalo ni taasisi ya serikali?

    Kumbe mnajua mgombea wenu hana sifa ya kuwa rais ila kwa sababu mna kiu ya kuitoa ccm madarakani basi liwalo na liwe.....tafadhari msibadili maneno baada ya uchaguzi!!!
Back
Top Bottom