Search results

  1. K

    Hakuna nyongeza ya mishahara kwa watumishi mwaka 2023

    Nimepita huku na kule naona kwenye bajeti 2023/2024 hakuna nyongeza bali matumizi mengineyo yasiyo ya mshahara hii inamaana hakuna nyongeza mwaka huu.
  2. K

    Malipo ya posho kwa watumishi

    Naomba kuuliza posho hulipwa kwa ngazi ya elimu au ngazi ya mshahara? Hii inakaaje ,mwenye ufafanuzi plz your welcome
  3. K

    Naomba kuelimishwa kuhusu uhamisho wa mwanafunzi NACTE march 2022

    Habari wakuu,wadau ,viongozi na waheshima wote najua Jamii Forum ni kisima cha mafanikio na wengi wamefanikiwa sana kimawazo,kumbuka::: kila kitu Duniani huanza na wazo na vyote duniani tuvionavyo ni kiini ni mawazo, sasa mm ni kijana mwanafunzi under nacte moja vyuo vyetu hapa Tanzania march...
Back
Top Bottom