Search results

  1. M

    Mkuu Wa Mkoa wa Pwani, Avunja Shule Ya Msingi Tondoroni na Kumilikisha Eneo la Kijiji kwa Jeshi:

    Wadau , Nilikuwa na pita njia ya Kwenda kisarawe kutokea Kilvya pwani, nikakuta shule ya Msing ya Tondoroni ikiwa imesambaratishwa na Tinga Tinga chini ya ulinzi mkali wa polisi. Barabara nayo ilikuwa imechimbwa kiasi cha kusababisha usumbufu kwa sisi tuliokuwa tukitumia nyia hiyo muda huo...
Back
Top Bottom