Search results

  1. bandeko andeko

    Wanawake; hii ina ukweli?

    Nimeikuta sehemu hii, je ina ukweli?
  2. bandeko andeko

    FIFA Awards 2023: Ni Messi tena

    Ni Messi tena.... Lionel Messi ashinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa FIFA 2023 Staa wa Argentina na Klabu ya Inter Miami, Lionel Messi ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa FIFA 2023 kwa Wanaume akimshinda Erling Haaland aliyeshika nafasi ya pili katika Tuzo hizo zinazoandaliwa na Shirikisho la Soka...
  3. bandeko andeko

    Kwanini hii hali inawatokea baadhi ya wasanii?

    Baadhi ya wasanii imeonekana kuwa wana maisha mazuri sana ila tatizo linaanza wakiugua miongoni mwao wameshindwa kumudu gharama za matibabu kupelekea kutembeza bakuli ili wapate misaada ya kugharamia matibabu yao. Nimejiuliza hili baada ya kuiona habari ya msanii mr. Ibu wa Nigeria.
  4. bandeko andeko

    Kuna ukweli kulingana na hii picha!?

    Nimeikuta mahali hii picha..
  5. bandeko andeko

    Kuendelea Chuo au kwenda Chuo cha Polisi?

    Habari Wanabodi, Nina binti yangu yuko mwaka wa kwanza chuo akiwa na 80% ya mkopo HESLB ila amekuwa shortlisted usaili wa Jeshi la Polisi. Hivyo naomba mawazo yenu aendelee na Chuo au aende CCP ikitokea amepita usaili? Natanguliza shukran.
Back
Top Bottom