Search results

  1. cocochanel

    Nimeaibika sana leo, nimejamba kikaoni mbele ya Binti nayempenda

    Si Bora haukuji*yea.. kama anakupenda hiyo sio noma kabisa.. kaza kamba.. endelea kufukuzia kua
  2. cocochanel

    Wadada, mnataka dakika ngapi?

    Unawapa nini au unawavutiaje? 😃
  3. cocochanel

    Wadada, mnataka dakika ngapi?

    Hawakupendi.. Mwanamke anayekupenda na mnajua mnapendana.. raha sana ya Dunia nyingine.. hata masaa mtapata raha hadi mchoke pamoja na kupumzika kabla ya me fine kuendelea na kuendelea eeeeh Kula hakupiti na kulala inavyobidi.. Mapenzi matamu na ya kweli yanatoka kwenye moyo ya wawili kwa...
  4. cocochanel

    Nahisi GSM na Hersi wana nia mbaya kwa mashabiki wa Simba. Ukweli wote huu hapa

    Kichwa ya habari.. komwa kuniita nuchumbwa
  5. cocochanel

    Kwa hii Video, Abiria wa Kimara wana Midomo michafu sana Madereva naanza kuwatetea

    Umasikini gani kwa burudani aliyotuletea humu?!!!
  6. cocochanel

    Nahisi GSM na Hersi wana nia mbaya kwa mashabiki wa Simba. Ukweli wote huu hapa

    Pole kwa kufungwa tena.. hakika inakuuma sana.. Kwa kuandika povu ruksa.. haujiamini na unajua umeandika pumb*a.😅
  7. cocochanel

    Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

    1. Umepata shida kwa kujitakia.. wewe upo dunia yako sio hii nchi yetu woteee. 2. I guess umamaanisha shida maishani mwako ndio ilikupeleka utoke na mke wa mtu.. wewe ni mariooooooo..
  8. cocochanel

    Hali aliyokuwa nayo Bob Risky baada ya kuhukumiwa

    Duh!!! Account yake humu haujawahi Iona? Acha kunitungia nisiye.
  9. cocochanel

    The night of scary

    Hamad yusuph Inabidi uendeleze story(hiyo ya 2 n.k.) hapa na sio kufungua Uzi mwingine kwa kila kipande.
  10. cocochanel

    Bobrisky, The famous and rich Gay in Nigeria

    Na sasa ndio kajiweka kidemu demu kwa Kasi ya 5g kwa visu n.k.
  11. cocochanel

    Bodaboda wanapataje leseni maana ajali kwao fasta

    Ila wengi wao.. wanajua walipofuzu kupata leseni.. utafikiri hawapo na chomboncha Moto na pia hawajali maisha yao na haswa ya wengine kabisa. Hatari sana.. inaonyesha nchi yetu ipoje kwenye usalama wa raia wake. Mabadiliko yanawezekana na kunyoosha waheshimu mengi...
  12. cocochanel

    Agnes Doris Liundi vs republic

    Yeah, nilijisikia hii story nilipokuja. waliishi Upanga
  13. cocochanel

    Rais Samia, Makonda anataka kuigawa Serikali yako na Chama kuelekea uchaguzi, ni mtego. Usikubali, ana nia ovu

    🤣🤣🤣 Sijawahi kupotea humu.. hujakutana na post zangu.. Mimi sio unavyofikiri.. ni mdau WA JF tu.
  14. cocochanel

    Kardinali Pengo, unampigania Sana Makonda lakini kama huwezi kumsaidia akaacha tabia yake ya ufitini, uongo na kiburi basi kikombe hicho kiwe juu yako

    😅😅😅Ujingwa upi na wewe!!! Mmepoa kama piritoni.. chadrama futi sita bado hautaki kujiokoa.. pokea 💉💉💉 Acha nianze kuburudika na haya... Nakanyaga nakwenda.. 2025 huyooo.. na bado.. Tuombeane uzima tuwemo humu kama kawaida. Makonda oyeee... Kazi iendeleee
  15. cocochanel

    Huenda Christina Shusho amechanganyikiwa au amelogwa?

    Ila na Molananajua kuonyesha mengi juu ya mtu, kwake ikawa mwenyewe kwa matamshi yake na vitendo vyake.
  16. cocochanel

    Rais Samia, Makonda anataka kuigawa Serikali yako na Chama kuelekea uchaguzi, ni mtego. Usikubali, ana nia ovu

    Najiona nina yote hayo umeendelea kuandika 💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽🤗
Back
Top Bottom