Search results

  1. Endeleaaa

    Kiwango cha Soka Tanzania Kimepanda au cha Afrika Kimeshuka?

    Watu wanacheza kutafuta pesa, kama kuna timu unaweza kumlipa Mane vile anavyolipwa Ulaya wakamsajili uone kama atakataa kucheza Africa. Watu wameacha ligi yao ya DRC wamekuja ligi ya bongo, sio kuifanya iwe ligi bora bali wamefuata malipo bora kuliko yale ya kule kwao.
  2. Endeleaaa

    Serikali ianzishe Mamlaka ya Usimamizi wa Makanisa

    Haya tupatie hitimisho je ni nani basi akituambia kristo yuko hapa au yuko pale huyo tumwamini?
  3. Endeleaaa

    Serikali ianzishe Mamlaka ya Usimamizi wa Makanisa

    Kwani wewe huwa hutoi sadaka kwenye hiyo imani yako? Shida yako ni ninj watu wakitoa sadaka kwenye imani zao?
  4. Endeleaaa

    Sina hamu kabisa ya kuoa na umri unazidi kwenda

    Uoe mara ngapi ndugu, ushaoa mda sema umetengana na mkeo na familia yako. Ondoa msongo, irejee familia yako maisha yaendelee. Hizo kazi unazohangaika nazo pesa unapeleka wapi kama sio kuhudumia hiyo familia uliojitenga nayo. Warudishe nyumbani halalisha mke kisheria muendelee na maisha.
  5. Endeleaaa

    Rais Hussein Mwinyi kuongea na Serikali ya Muungano ili Zanzibar ianzishe mfuko wa kusaidia Waislam

    Huwezi kutaka kitu tu kwa vile mwenzio wmekihitaji. Huo unakuwa ni tamaa na wivu wa kijinga.
  6. Endeleaaa

    Mke wangu anapitia wakati mgumu sana hadi nimemuonea huruma

    Vipi wewe mwanaume ukichepuka yeye afanyeje?
  7. Endeleaaa

    Mke wangu anapitia wakati mgumu sana hadi nimemuonea huruma

    Umeandika vizuri kama vile wewe huchepukagi. Au ndio mkuki kwa nguruwe ila kwa binadamu mchungu. Ukiona mwanamke amechepuka ujue wewe mwanaume ndio tatizo. Hata ukimwacha ukioa mwingine atachepuka tu maana wewe tatizo lako utakuwa hujalijua na kulitatua.
  8. Endeleaaa

    Brand nyingi za TV za Bongo ni fake

    Kwa kuongezea tu FAKE ni nakala ya kitu halisi ambayo imetolewa bila kibali cha mwenye kile kitu halisi. Mfano ukinunua sony Tv ambayo haijatoka kiwanda cha Sony hiyo tunasema ni Fake. Hata kama ina ubora kama ule wa Sony Og.
  9. Endeleaaa

    Ni ngumu sana kuwa msemaji wa Simba chini ya CEO Barbara

    Mwanaume.mzima ana mind kutoambiwa Happy birthday duuh. Huo ndio utoto wenyewe sasa [emoji23][emoji23][emoji23]
  10. Endeleaaa

    TRA: Kariakoo lazima EFD kwa wote

    Kaanzie kwenye masoko madogo kariakoo ujr umeshakua kibiashara
  11. Endeleaaa

    TRA: Kariakoo lazima EFD kwa wote

    Kama huna biashara yenye mauzo ya 12m kwa mwaka unafanya nini huko Kkoo nenda kwenye maeneo ya biashara za mzunguko mdogo
  12. Endeleaaa

    TRA: Kariakoo lazima EFD kwa wote

    Hata anaetandika chini lazima alipe kodi kulingana na faida anayoipata hapo chini.
  13. Endeleaaa

    TRA: Kariakoo lazima EFD kwa wote

    Mbona simu zinaharibika na bado unanunua[emoji23]
  14. Endeleaaa

    TRA: Kariakoo lazima EFD kwa wote

    Unaelewa maana ya "Wote"
  15. Endeleaaa

    Wakazi wa Ngorongoro, tunawakumbusha tu kwamba hata sisi wa maeneo mengine ya Tanzania, kama Kuna maslahi ya umma, tulihamishwa

    Umewahi kufika ngorongoro creta au unashadadia ya vyombo vya habari mkodishwa.
  16. Endeleaaa

    TRA koma kuwadai wafanyabiashara Kodi za miaka ya nyuma except mwaka jana tu

    Aliweke kwenye sheria ya kodi, sio matamko tu. Tamko halijawahi kubadili sheria. Ikibaki kama tamko hamtodaiwa kipindi hiki chq awamu ya sita ila ikija ya saba hamna rangi mtaacha kuona
  17. Endeleaaa

    Makabila yenye mafanikio (kasoro wachaga), sehemu walizotokea hazina maendeleo kwasababu wanaogopa kurogwa wakitaka kurudi kufanya maendeleo

    Sio asili yake ni wa kununua. Na wengi wanaoununua huwa hawafanikiwi wanaishia kuwa maskini au akitoboa ataishia kupoteza ndugu zake tu kama kafara
  18. Endeleaaa

    Nyaraka za kesi iliyofunguliwa na Halima Mdee na Wabunge wenzake dhidi ya CHADEMA

    Chadema sio mlalamikaji kwenye hiyo kesi. Yeye ni mlalamikiwa. Kwa kifupi jukwaa la utetezi limehamia mahakamani.
  19. Endeleaaa

    Kama system ingekuwa fair basi Bashe na Mtaka walipaswa kuandaliwa kwa Urais wa nchi yetu, wanafaa sana

    Alama za nyakati ziko wazi kabisa. Kama hujaelewa Tizama Znz. Kisha tizama maandalizi ya sasa utajua 2030 inaenda wapi. Hata wewe ungekuwa baba na una influence na mwanao keshatoboa hadi hatua ya uwaziri dunia itashangaa ukishindwa kumkalisha kiti ulichokikalia miaka 10.
Back
Top Bottom