Search results

  1. kacghee

    Live updates Yanga Vs Kagera Sugar

    poleni yanga
  2. kacghee

    Kupandishwa cheo.

    Atakuwa Mrs baba mwenye nyumba
  3. kacghee

    Mtonga Juu-Korogwe kuna tatizo gani kusambaza umeme?

    Kwa kipindi kirefu wakazi wa Mtonga Juu Korogwe wamekosa umeme wa Tanesco bila kuelewa sababu!? Ukweli ni kwamba wakazi wengi wa Mtonga juu wamejiandaa siku nyingi kupata umeme wa Tanesco lakini sasa wamekata tamaa. Sijui ni Tanesco makao makuu ndo watuambie lini umeme utapatikana? Halafu kama...
  4. kacghee

    Natamani kuivunjavunja line yangu ya Tigo

    Kwa kweli tigo wanasumbua!? Hivi kama kutuma sms ni gharama, kwa nini wasiache kutuma hizo sms zao ili watupunguzie gharama cc wateja ? Tigo mnakera tena si kidogo. Ninyi mnadhani mnatangaza biashara kumbe mnaudhi wateja!!??
  5. kacghee

    Serikali yaomba madaktari nje ya nchi, BILIONI 200 ZATENGWA KUWALIPA

    Yaani hii inaonyesha pesa ya kuwalipa Madaktari ipo ila ni kiburi tu cha serikali. Hivi mfano walimu nawo wakigoma ina maana wataletwa walimu toka nje? Lakini kama hiyo ni kweli, mjue kati ya hizo fedha kuna ulaji wa hawo wakubwa- lazima uchakachuaji upo.
  6. kacghee

    JWTZ waigomea SERIKALI...

    Ni msimamo mzuri JWTZ. Itakuwa fundisho kwa serikalali.
  7. kacghee

    Ccm kwa sasa wanaendesha nchi kwa maelekezo ya chadema

    Hiyo ipo wazi kabisa pamoja na kuwa ni vigumu kukubali wazi wazi. Kumbukeni mkubwa hakosei kwani hata akitoa hewa chafu anasingiziwa mtoto!! CDM JUUUUU
  8. kacghee

    Maandamano makubwa kumpongeza Jakaya Kikwete!

    Kwa mawazo yangu maandamano yafanyike kumpongeza Zitto na si vinginevyo. Kwani hoja aliyoitoa bungeni ndiyo imepelekea kuvunjwa baraza hilo la mawaziri.
  9. kacghee

    Hotuba ya MB-Nassari (CHADEMA) baada ya kutangazwa imeliza wengi

    CCM mmekuwa waungwana safari hii kukubali matokeo kilaini. Tumpe ushirikiano Nassari wale wa CCM na vyama vingine vilivyoshiriki uchaguzi Alumeru na kuambulia patupu.
  10. kacghee

    Malimbikizo ya mishahara kwa Walimu

    Hivi madeni yote ya Walimu yamelipwa Mwezi Januari kama Naibu Waziri wa Elimu alivyotamba? Mbona Walimu wengi wanaodai malimbikizo ya mishahara hawajalipwa?
Back
Top Bottom