Search results

  1. tycun

    Hii adhabu aliyopewa jamaa imekaaje wakuu? Imetolewa na wanajeshi

    Hahahahahahaha braza umepanik kama wajeda hahaha kumbe na hao ni ccm au nmekuelewa vbaya.
  2. tycun

    Uundaji magari

    Kwa wale wanaopata tabu ufatiliaji ingien youtube na jitaidin kwenda kwenye maonyesho ya veta na viwanda kama nyumbu na mazao...
  3. tycun

    Uundaji magari

    Gharama nafuu sana kwa maelezo yake hakuweka wazi beibgan ila kwa production kubwa ukianza utapata vtu vingi kwa jumla na bei itapungua sana ila sio kwa bei ndogo kama alivo sema.
  4. tycun

    Uundaji magari

    Mbona kunajamaa katengeneza bajaj yake na inasimamiwa jino kwa jino inatembea fresh inasubir kupitishwa na tbs. Kila kitu kinawezekana na watz tunaweza sema kama huyu jamaa eti tbs ilimkatali kwakua imepungua cm10. Saiz wanaiongeza kdgo baada ya waziri kuwakomalia.
  5. tycun

    Ujio wa 5g: je tanzania imejiandaaje kukabiliana na changamoto na fursa zake.

    5g usitake kuichosha serikal yetu vtu vingi bdo sana tuanze kuumiz kichwa na iyo afu acheni kuleta maneno ya kurudishana nyuma eti nerve nn cjui hapahakuna kitu km icho mwil wako hauwez alibiwa n kitu cha namna hii kirahisi ata wao wamefanya research au hawataki kuishi na pia kama shida ipo adi...
  6. tycun

    CPA

    Shinyanga
  7. tycun

    CPA

    Ifm
  8. tycun

    Alichokifanya mzungu wa Airbus hakiwezekani kufanywa na mbongo

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91]
  9. tycun

    CPA

    Thanx Mr.
  10. tycun

    Wengi walionunua bajaji, bodaboda na uber hawakupata faida tarajiwa

    Ukitaka faida fanya na ww au weka tracker kwenye usafir wako inasoma rout zote na kijana unamlipa kulinganana na matumizi.. Ukishndwa jua ni uzembe wako kua makin na biashara yako
  11. tycun

    CPA

    Nikwel mkuu ila naitaji utaratibu nianzie wap?
  12. tycun

    BACHELOR OF ECONOMICS AND FINANCE

    Kwa chuo gan kdgo vimetofautiana masomo
  13. tycun

    CPA

    Naitaji msaada mm nlimalza chuo mwaka 2014 ni bach ya banking n finance.. Naezaje jiunga n CPA mitian ya board.
  14. tycun

    Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Yan nmesoma coment za wachache ila naona humu mnalopoka sana akili kdgo mno unafkr kuna atakae weza jenga kitu kwa hela zake za mfukon kwake au unafkr vikodi vyako unavyolipa kwa kuvutana vtaweza kujenga irad mikubwa ndan ya miaka mitano au angesimamisha mirad yote ilioanzishwa ili ajenge yake...
  15. tycun

    Kwanini wanaosifia awamu ya 5 ni viongozi tu na sio wananchi wa kawaida?

    Wa Tz mnataka nn ajira ni tatizo ulimwengu wote tatzo tumejazana mijini afu tunataka ajira ukipewa shamba na babubyako uko kijjn huwez kwenda kulima ww unakaa apa unataka uajiliwe afu ulipwe na mishahara za kodi za watz wenzko wanao pga kaz na kujituma kila kukicha ww umekalia majungu tu apa...
  16. tycun

    Gharma hiii ni kweli au tumeliwa

    Hahahah izo gar mbayaaaaaa ivi ata haya mabas ya mikoani nayo huwaga bei ndefu ivo.
  17. tycun

    Vanilla; yafika $600 kwa kg 1 ikiyapiku madini ya silver yanayouzwa $550 kwa kilo

    linaitaj miaka mingap kukua na mazngra gan linakua vzur...
  18. tycun

    Staff buses za JWTZ, Police na Magereza zingesaidia kubeba wanawake, watoto na wanafunzi barabara za DART (Public Relations Advise)

    apo suluhu ni itolewe nafas watu wenye uwezo kuwekeza kwenye mabus waingie kwenye ilo soko mbona linalipa sana. tuache majesh yetu yafanye majukumu yao sio kujaza mambo juu yao hata kama wanayaweza. salute kwa majesh mpo vzur.
  19. tycun

    Naitaj used pool table

    Naitaj used pooltable nipo shinyanga kwa yeyote anaye uza plz fanya tuwasiliane...
  20. tycun

    Hivi BOT wanajua jumla ya pesa zilizo kwenye mzunguko nchini?

    Izo pesa unazopewa kama sio currency ya tz haituhusu ila ukiichenji kua tzs wanajua... so mambo yapo kiuchumi zaid...
Back
Top Bottom