Ngwanakilala
JF-Expert Member
- Jun 25, 2011
- 774
- 1,456
Wanabodi, Heshima kwenu
Nimefuatilia kwa ndugu, jamaa na marafiki wengi waliochukua mikopo na kununua bajaji, Bodaboda au ggari za kufanya uber na kugundua wengi hawakupata faida walioitarajia.
Na ukweli wa mambo ni kwamba biashara hizo ukiazisha na ukafanya mwenyewe meaning dereva ukawa wewe mwenyewe faida ni kubwa sana. Tatizo linakuja pale unapoajiri mtu. Vijana wa kitanzania hawa tabia wala utamaduni wakuheshimu kazi wala makubaliano wala mikataba badala yake karibu wote ni wajanja wajanja na wapigaji.
Please share you experience or opinio