Search results

  1. T

    Penye wengi pana mengi, ndoa isiyo eleweka, anaweza kudai mgawanyo wa Mali huyu?

    Nita-summarize mnooo, ili nisikuchoshe! Iko hivi; Walikutana chuoni (2008), first date ikapelekea mimba, mtoto alipozaliwa kutokana na mashaka mengi kwa jamaa akaamua kupima DNA, ikasoma POSITIVE! Jamaa akaamza kulea mtoto. Kila mmoja akiwa kwake lakini mawasiliano mazuri kati ya wazazi hawa...
  2. T

    Car4Sale Ninauza gari yangu PASSO namba DPD

    Kwa mwenye uhitaji wa gari hii hapa, Aina ya gari: Passo, Piston 3, CC 990 Gari ipo Dar es salaam, ukitaka kuiona nipigie kwa namba 0686866276 Nimeitumia kwa bolt na Uber kuanzia mwezi July mpaka sasa, naamua kuuza baada ya kupata scholarship nchini Denmark. Kwa mwenye muda na yupo serious na...
  3. T

    Natafuta mashine ya NMB wakala

    Habari za wakati huu ndugu zanguni, Kama Kuna mtu mwenye mashine ya NMB WAKALA, hafanyii kazi au anaiuza kwa sababu yoyote tuwasiliane, nimeitafuta kwa udi na uvumba lakini zimekuwa ngumu kweli kweli kupatikana!
  4. T

    Nahitaji sana mashine ya NMB wakala

    Naomba kwa wazoefu wa hii Mambo, namna ya kupata mashine za uwakala NMB, nimefuatilia sana bank lakini napigwa danadana mnooo mpaka sasa ni miezi 9 imepita bila mafanikio, mwenye uzoefu na hii mambo tafadhali naomba darasa! Nawasilisha
  5. T

    Mwaka unaisha kwa break up, bodaboda tuwaheshimu sana

    Jamaa ana mchumba wake mkoani, mchumba akam-connect jamaa na boda boda wake kwa maelezo kwamba ni kijana mstaarabu sana,na muaminifu mno! Basi jamaa akawa akisafiri kwenda kwa mkewe mtarajiwa, anamtumia huyo boda boda, anamuacha then anamwambia jamaa "bro kuwa makini" bila kumwambia awe makini...
  6. T

    Miezi miwili hajapata hedhi, amepima hana ujauzito

    Amepata changamoto ambayo si ya kawaida, miezi miwili mfululizo hajaona hedhi, amepima mara kadhaa ujauzito hana! Lakini period HAKUNA, kwa wajuzi wa Mambo, atumie dawa gani? Alienda hospital alipoambiwa gharama za kuchec/vipimo vya hormones Bei yake aliamua ilifanya akimbieeeee!
  7. T

    Looking for plants scientist (volunteers)

    Kama wewe ni mhitimu wa stashahada au shahada ya maswala ya mimea (plants) na upo tayari kufanya kazi kwa kujitolea tafadhali check with me. 0629109840 Females are also encouraged to apply!
  8. T

    Haya ndugu zangu sasa ni CARDETS zinauzwa

    Siku chache zilizopita nilikuwa nauza Pasi aina ya Phillips, (original) kwa mlionunua na kuzitumia mnaweza kushuhudia ubora wake! Baada ya kumaliza pasi sasa Nina CARDETS ORIGINAL KABISA, zilizopo ni Burberry, Viccobs, monclear na Massimo! Kwa wajuzi wa mambo ya cardets na wanaozivaa wanajua...
  9. T

    Hivi inakuwaje mama anamuonea wivu mtoto wake?

    Huu ni ujumbe amenifowadia rafiki yangu wa karibu sana, kwamba amemnunulia zawadi mtoto wake baada ya kufanya vizuri shuleni, (aliahidi kumnunulia zawadi nono endapo atashika nafasi ya kwanza kwenye mitihani yake), dogo kweli amepasua paper vizuri sana, baba Yale akatekeleza ahadi yake kwa...
  10. T

    Nauza pasi original za Philips

    Ninauza pasi original za Philips! Hizi ni pasi bora na imara mno,ukiinunua na kuitunza vizuri ni mkataba wa kudumu, Hizi pasi ni mpya na zipo kwa box zake. Kwa bei za dukani zinauzwa 45000-50000, Mimi nitakuuzia sh.40,000/= tu, nina pasi 25, karibuni, nipo Mabibo,na kama upo mkoani nitakutumia...
Back
Top Bottom