Search results

  1. N

    Sitaki mapenzi

    Jamani wana jf kuna dada wa miaka 26 amenipenda ananihitaji kamapenzi nimemkatalia lakini kilasiku ananing'ang'anizia jamani nisaidieni nifanye nini?
  2. N

    Kinpindi cha dk 45 itv- kurudia madudu yao na magamba.

    Ha ha ha ha ha....ni lamaana unaloongea lakini tumeshaletewa ving'amuzi unge check star tv,aljazira.nk ingekusaidia kuondoa uchungu ulio nao.
  3. N

    Ni makosa kuisulutisha serikali kufanya kazi

    Ndugu kweli unaongea ishu yako kwa uchungu mkubwa polesana.lakini hakuna nchi yoyote duniani iliyoendelea bila wananchi wake kuishurutisha serikali.kwa misingi hiyo basi nina mashaka kama wewe ni mtanzania!?pili kama unahitaji maendeleo ya taifa hili ni lazima kuishurutisha serikali
  4. N

    Michango

    Kibonde
  5. N

    Michango

    Jamani hapa arusha kuna shule imepanga kuchukua 10000,kila mwezi kwa ajili ya masomo ya ziada kwa wanafunzi..na ni ya serikali.lakini wakati huo huo kuna kaya zisizoweza kulipa ada ya mtoto..jamani hii ni sahihi?
Back
Top Bottom