Search results

  1. Kinyengeli

    Laiti Kama Ungekuwa ni wewe ungefanyaje?

    Simple and very clear
  2. Kinyengeli

    Naiteka simu ya mpenzi wangu kwa uchunguzi nitampa Kesho jioni nikitoka kazini

    Ashanitumia SMS nisimtafute hadi akinitafuta yeye. Unahangaika nao hawa,!!!! ishi nae kwa akili tu mkuu.
  3. Kinyengeli

    Kwani kuna nini!?.

    Kisa cha kweli, ni mshikaji wetu twashirikiana kwa mengi. Yupo ndoani yapata miaka zaidi ya kumi. Miaka ya mwanzoni mambo yalikuwa mswano, lakini sasa mchizi anajuta. Kiaina sio kwamba ana life tafu la hasha, vimijengo kadhaa kausafiri kakumsogeza hapa na pale amejaaliwa, upande wa sabuni ya...
  4. Kinyengeli

    Kuvutiwa na kutamani makalio ya mwanamke halafu huyatumii

    Kwenye style ya Mbuzi kagoma natafinyafinya huku nayapigapiga pwaapwawaaaaa!!!! Hayo pia matumizi sahihi.
  5. Kinyengeli

    Leo nimehisi sababu iliyomfanya baba yangu kumuacha mama yangu..

    Huna adabu wewe, kama baba yako alimfumania mama yako ungependa kujua!?? Acha na ukae mbali kabisa na ndoa ya wazazi wako. Wanaume huwa sio watu wa kusemasema mambo. Hivyo kuwa makini usijejitaftia radhi bure.😎
  6. Kinyengeli

    Kumbe Wanaume mabikra miaka 34 bado wapo!!

    Mtunza nyege mashuhuri kutoka Moshi.
  7. Kinyengeli

    Iwafikie wanawake wenye hasira.

    Asilimia* *99* *ya* *wanawake* *wenye* *hasira* *wanafeli* *sekta* *ya* *mahusiano* Je, wewe ni mwanamke ambaye umeachwa na huamini tena katika mapenzi? Au unaachika kila mahusiano hujui sababu ni nini? Anyway najua sababu ziko nyingi... inawezekana umekutana na wanaume wasiojielewa lakini...
  8. Kinyengeli

    Crossroads: Ex wa mke wangu wanaendelea kuwa karibu na wife hadi sasa

    Brother you are westing your time, kuwa makini sana mwanamke Mara nyingi akicheat huwa anaenda mazima. Maana hawa viumbe huwa wanapenda haswaa tofauti na mwanaume anatamani, anapiga na kusahau nye*** zake zikiisha. Nina true story juu ya mke wa mtu aliyeanza kucheat kwa kulipa kisasi baada ya...
  9. Kinyengeli

    Dalili kama hizi zinaashiria nini kwa girlfriend wako?

    Maswali ya kitoto, hujibiwa kitoto.
  10. Kinyengeli

    Zitambue 'Code' mbali mbali za Watu wanao Cheat katika Mapenzi

    Ngoja ukutwe, hata hivyo kuna watu hawana muda wa kutaka kujua lolote kuhusu mwanamke Malaya, hupunguza ufanisi na huleta umasikini, kama umepata janamke kahaba ni kumwomba Mungu umfume Siku moja na kupiga chini fasta. Binafsi sina muda wa kumfatilia mwanamke.
  11. Kinyengeli

    Mume kufukuzwa kazi kumenifundisha kuchepuka, sasa nimekuwa sugu

    Women are fickle and changeable thing.
  12. Kinyengeli

    Riwaya: Msako wa Hayawani

    Du mkuu Idawa wapi tumalizie story mkuu.
  13. Kinyengeli

    Wanaume wengi wanatembea na wanawake chini ya viwango kwasababu hawana magari

    Well said chief may God bless you. I think that's why you are wealth enough.
  14. Kinyengeli

    Ikiwa picha hii ni ya kweli, Nyalandu lazima ajiuzulu

    Du kabinti haka kazuri lakini .... Nyandu tozi
  15. Kinyengeli

    Uandikishaji BVR Iringa

    Leo zoezi la uandikishaji BVR lipo Iringa mjini, watu wamekitokeza kiasi, nimepita Kwenye baadhi ya vituo hali angalau japo kuna malalamiko juu ya kasi ya uandikishaji. MTU mmoja anatumia wastani Wa nusu SAA, Kwa mwendo huu sidhani kama wiki moja itatosha.
  16. Kinyengeli

    Mke wangu ni pasua kichwa, ila siivunji hii ndoa. Nipeni mchango wa mawazo jamani

    Pole sana ndg hauko peke yako yaani Huyo ni kama pacha na mke wangu. Tunakufa kijerumani na kamba shingoni.
  17. Kinyengeli

    Picha: Hivi ndo ilivyokuwa Mkutano wa CHADEMA Mufindi Mkoani Iringa leo

    Mkuu Mimi ni mpenzi Wa Chadema lakini uwongo Wa hivi ni kujidanganya wenyewe. Hii picha sio Mufindi ni Iringa mjini uwanja Wa Mlandege stand cku aliyokuja Rais Wa mioyo ya watz Dr WP Slaa.
  18. Kinyengeli

    SEPON Limited: Tunaunga umeme wa Solar kwa gharama nafuu

    SEPON-LTD Kwa mfumo kama ulioelekeza ni tsh ngapi.
  19. Kinyengeli

    Kupaua nyumba (Makadirio ya gharama)

    Kupaua nyumba ya sqm 156 Mbao jumla 220 * 7000=154000 Bati za Alafu za kawaida zenye rangi(Migongo midogo) ft 10 pcs 100 @17000=1700000, Misumari ya bati 20kg @2500=50000, Misumari nch 6 kg 15 3000=45000, Misumari nch 5 kg 10@3000= 30,000. Labour charge 1200000. Hapo tunatumia mbao za kawaida...
Back
Top Bottom